TAKUKURU wawaita Yanga na TFF ofsini

TAKUKURU wawaita Yanga na TFF ofsini

Pamechangamka sanaa, shida ni bado sina imani na uto sijui huwa wanafeli wapi. Wanaanzaga vizuri lakini mambo wanashindwa kuya handle utashangaa wanachemka, wakati kwenye hili inabidi madudu ya Tff yafukuliwe reforms zifanyike. DYASC wakizingua na hapa itabidi wajitathmini
Shida ni makolo wenzako ambao nao walinyimwa pesa za ubingwa ila hivi sasa wapo upande wa TFF wakiwasaidia hadi propaganda kwa kutumia mashabiki wao,badala ya kuungana na yanga kukomesha unyonyaji.
 
Taasisi ya kupambana na rushwa imetuma barua ya wito Kwa Yanga na TFF Kwa makao mkuu Kwa mahojiano

Sakata linapamba moto

Source: Hans Rafael, mtangazaji crown media👑
View attachment 3366204
Hivi toka lini TAKUKURU wakafanya mambo ya uhakika hapa Tanzania, hii tahsisi ni ya hovyo sana, sielewi kwanini serikali mpaka leo inawaacha wanaliibia taifa tu.
 
Mtu yeyote au taasisi yoyote ile ikiwa na kesi dhidi ya klabu ya Yanga kushinda kesi hiyo ni rahisi kama kumsukuma mlevi...
Haji Manara 'wenye akili ni wawili tuu "
 
Mtu yeyote au taasisi yoyote ile ikiwa na kesi dhidi ya klabu ya Yanga kushinda kesi hiyo ni rahisi kama kumsukuma mlevi...
Haji Manara 'wenye akili ni wawili tuu "
Pelekeni vielelezo na risiti za TRA za malipo halali,, kujitetea hapa atutakusaidia chochote iyo inakuwa sio kesi ya yanga Tena Bali ni Tff v/s takukuru ama Tff v/s TRA ivyo utulize mshono
 
Kwa ujumla TFF kayakanyaga madai yao kuwa Yanga waliandika barua pesa ikatwe juuu kwa juuu!!!
ndio kwenye Shida apo apo tayali ni kosa,,,

Sasa ikiwa TAKUKURU wataamua kuchimba zaid ni wazi Kidau na Karia wanakamatwa na wana kesi ya kujibu.

Mfano Baada Tff kujibu tu kuwa tuliandikiwa baua na Yanga Tukatane pesa juu kwa juu !!
Rais wa TFF alitakiwa aikane iyo taarifa manake kuna ukwepaji wa kodi unafanyika kupitia njia iyo. Ngoja tuone,,
Wajinga hawawezi kuelewa hii
 
Back
Top Bottom