TAKUKURU: Tuhuma dhidi ya Ole Sabaya zinaibuka mpya kila siku kadri uchunguzi unavyoendelea

Hao Takukuru walikuwepo sabaya akifanya ujinga wake na watu walipiga kelele mno walikaa kimya kama hawasikii kabisa watu wamepoteza mali zao ndio wanajifanya kuibuka inabidi wajitathmini kama wanatakiwa kuwepo au laa..
 
Wakili msomi Jebra Kambole amesema Ole sabaya ama apelekwe mahakamani au aachiliwe lakini Takukuru kuendelea kumshikilia kwa siku kadhaa sasa ni kinyume cha sheria na katiba.

Mzee Mgaya anasema Takukuru waweke wazi tuhuma dhidi ya DC Ole sabaya vinginevyo wananchi wenye mapenzi mema watahisi kijana huyu mzalendo anaonewa kwa sababu alimdhibiti Mbowe.

Jumaa kareem!

Wakili msomi wa Takukuru amesema tutaendelea kumshikilia Ole Sabaya kwa kipindi kisichojulika bila kuvunja sheria na katiba kwa kumtoa nje ya mahabusu kila baada ya masaa 48 kufagia bustani za ofisi na kumrudisha mahabusu na tarehe mpya.....
 
Hivi Babu Seya alifungwaje vile. Binadamu ni wabaya wanaweza kununua mpaka minor wakutolee ushahidi wa uongo. Yaani Sabaya alale na wanawake 40 na wote watokee kutoa ushahidi?!
Sawa lakini tuendelee
Pumbafu kwenye yale mashitaka sita kuna sehemu wamesema amelala na wanawake 40?
 
Ignorantia Juris Non Excusant! Due diligence ulifanya? Au unadhani nchi inaenda kiholela? Uliwahi kufahamu kitu kinaitwa proceeds of Crimes?

Tunywe mtori nyama zipo chini, kuwa Mpole!
Kumbe unajua kidogo kuhusu sheria, sasa mbona uzi wako kama umetolewa na asiyejua.

Ni kituo gani cha TV kinauliza vyanzo vya mapato vya mtu kabla hakijamhoji?

Ni kituo gani cha TV kina database ya wezi, ambao hata hawajashtakiwa wala kufunguliwa mashtaka popote?

Ungekuwa unauza hata genge usingeleta huu uzi. Wewe unauliza mteja wapi kapata hela? Unamfukuza kwa kusadiki ni mwizi na hana mashtaka rasmi popote? Kwamba kanisani alikotoa sadaka nako wana makosa.
 
Kwa hiyo TAKUKURU wanafanya kazi za tuhuma au zenye uhtibitisho kwa hyo mie sasa hivi nikiwapa tuhuma ya sabaya na sina ushahidi wamkamata... Basi tuna watu dhaifu sana....
 
Hivi Babu Seya alifungwaje vile. Binadamu ni wabaya wanaweza kununua mpaka minor wakutolee ushahidi wa uongo. Yaani Sabaya alale na wanawake 40 na wote watokee kutoa ushahidi?!
Sawa lakini tuendelee

CCTV footage za sabaya na genge lake la majambazi nayo ni uzushi?
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Mwisho wa siku utakuta hana hatia tuhuma zilikuwa za kubambikiwa tu ...serikali imeshindwa na haina ushahidi sijui mtasemaje
Unaweza kuta vyombo vya hbr vinatupa presure tu wekeni hadharani ana tuhuma gani hawasemi
 
Mwisho wa siku utakuta hana hatia tuhuma zilikuwa za kubambikiwa tu ...serikali imeshindwa na haina ushahidi sijui mtasemaje
Unaweza kuta vyombo vya hbr vinatupa presure tu wekeni hadharani ana tuhuma gani hawasemi
Akae ndani miaka 6 kusubiria ushahidi kukamilika kwanza
 
Back
Top Bottom