Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,734
- 6,292
Wabunge Gani? Hawa Wanaosema Posho Hakitoshi Tusiwaogope Wananchi Tuwaambie Ukweli π ππππππ Wabunge Wa Tozo!πππΆπMuhimu ni kuwa hajafuja, kidogo alichopata, kagawana na wenzake, hakuna kanuni iliyokiukwa, well done.
Wabunge waige, ile milioni kadhaa ya gari wasaidie sehemu moja wapo jimboni
Sio sahihi kwasababu magari ya serikali yana technical specifications zake na sio kukurupuka tu.Mkurugenzi wa Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma Fatna Laay amekataa kutumia fedha zote shilingi milioni 210 alizopewa kwa ajili ya kujinunulia gari lake la kazi na badala yake amenunua gari la Milioni 162 na fedha iliyobaki amewanunulia pikipiki Watendaji wa Kata 12.
Swali: Je alichofanya ni sahihi, hakuna kanuni au sheria amezikiuka hapa?
mama D acha kuchanganya madesa bhana! Inawezekana kweli huyo Mkurugenzi amefanya jambo jema na la busara kugawana hizo hela na hao Watendaji kwa kununua hilo gari la bei nafuu na pikipiki!Uongozi ni kufuata taratibu pamoja na kutumia busara
Mkurugenzi kafanya jambo jema
Sio vizuri hata kidogo yaani anashindwa kununua hata gari la millioni 20 ananunua mia na kitu.Mkurugenzi wa Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma Fatna Laay amekataa kutumia fedha zote shilingi milioni 210 alizopewa kwa ajili ya kujinunulia gari lake la kazi na badala yake amenunua gari la Milioni 162 na fedha iliyobaki amewanunulia pikipiki Watendaji wa Kata 12.
Swali: Je alichofanya ni sahihi, hakuna kanuni au sheria amezikiuka hapa?
Sio sahihi kwasababu magari ya serikali yana technical specifications zake na sio kukurupuka tu.
Ndio tatizo la watu kuingilia kazi za watu wengine! Haya ndio madhara yake. Halafu kiutaratibu yeye na wengine, hawatakiwi kabisa kuingilia haya mambo yaani anakabidhiwa tu dereva na gari! Maana ni Mali ya serikali sio Mali binafsi
Ukiwa ni mkweli toa hiyo specification la gari la 210m na uweke specification ua hilo la 162m, ndio tunaweza kuchambua kuliko kusema la budget ya 210m dhidi ya matumizi halisi ya 162mMkurugenzi wa Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma Fatna Laay amekataa kutumia fedha zote shilingi milioni 210 alizopewa kwa ajili ya kujinunulia gari lake la kazi na badala yake amenunua gari la Milioni 162 na fedha iliyobaki amewanunulia pikipiki Watendaji wa Kata 12.
Swali: Je, alichofanya ni sahihi, hakuna kanuni au sheria amezikiuka hapa?