Deodat
JF-Expert Member
- Sep 18, 2008
- 1,274
- 272
Hii takukuru si ndio iliyosema Richmond deal ilikuwa haina shida yoyote?
Hii takukuru si ndio iler ambayo mkurugenzi wake alipendekezwa na kamati ya bunge kuwa awajibishwe?
Hii takukuru si ndio inapeleka feki kesi za ufisadi bila ya ushahidi wa kutosha (kwa makusudi) ili serikali ishindwe?
Sasa kwanini tuiamini leo na huu upupu? siku zote wamekaa kimya leo huyo mtu wao anagombea uspika ndio wanamsafisha? Chenge arudishe kwanza zile pesa za watanzania kutoka kule Jersey ndio mambo mengine yataeleweka.