Takriban watu 50 wamekatwa vichwa na wapiganaji wa Kiislamu nchini Msumbiji

Wewe jamaa ni una tatizo sehemu, maana hizo video wengi wetu tuliwaona wakitamka hayo maneno na sio hapo tu hata IS ya uarabuni huko wanataja sana wakitaka kuchinja lazima waseme Allah Akbar
magaidi wote wa kiislam kuanzia ufaransa,ujerumani,UK,Vienna,Marekani,Canada,Palestina,Afghanstan nk. nk.
wakitaka kufanya tukio la kuua lazima wa'shout Allahu akbar..ili Allah arekodi na kuwaongezea mabikra

NB:The p in islam stands for 'peace'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa hii ina'justify nini?
kama waliua miaka 1000 iliyopita huko kwa malengo yao mimi yananihusu nini?
Basi tuanze kusema mpaka Alexander the great nayeye aliua watu wengi..so what?ilishatokea inadhuru nini maisha yetu ya kawaida?
(BTW hizo roman empire na Mangolian zilikuwa za kipagani na hawakuwa na guiding principles za ku'justify mauaji yao ndomana leo hakuna wafuasi wanaofanya mauaji kwa jina la Roma takatifu au mfalme wa Roma miaka hii.)


Hii reasoning ni kama mtu aseme kwasababu babu yake na jirani yangu alikuwa jambazi sugu..ngoja namimi nianze wizi??

So kwa kusisitiza ili uelewe
*Roman Empire iliua watu wengi lakini cha kushukuru haikuacha ideology/dini inayohalalisha mauaji ndomana mpaka leo haitudhuru
Lakini muhamad na genge lao walifanya mambo na kuyahalalisha kidini na kujiita wao ndo mfano wa kuigwa
 
Dah!...inaonekana Serikali ya Msumbiji haina uwezo tena wa kuwadhibiti hawa wahuni, mbaya zaidi siku zinavyozidi kusonga ndivyo wanazidi kupata nguvu zaidi ya kuendeleza unyama.

Ni vyema Msumbiji iyaangukie mataifa yenye uzoefu wa kukabiliana na magenge kama haya ili wasaidiwe hasa kimafunzo kwa wanajeshi wao mfano wa hizo nchi ni Israel, Marekani, Uturuki,Urusi,Uingereza....hata nchi za Africa kama Misri,Algeria zinaweza kuwa msaada kwao.
Misri ndo walewale,afadhali hao algeria wameelimika kiasi
 
Waisilamu ni watu wa ajabu sana
Kabisa, kwasiku wanaswali mara 5, kabla ya kuswali wanajikosha kwa maji safi yanayotiririka, hawali kitimoto, pombe kwao haramu, mziki kwao haramu, jirani wa muislamu ni mpaka nyumba ya 40 pande zote zinazomzunguka nyumbani kwake, hakika waislamu ni watu waajabu sana.
 
Kabisa, kwasiku wanaswali mara 5, kabla ya kuswali wanajikosha kwa maji safi yanayotiririka, hawali kitimoto, pombe kwao haramu, mziki kwao haramu, jirani wa muislamu ni mpaka nyumba ya 40 pande zote zinazomzunguka nyumbani kwake, hakika waislamu ni watu waajabu sana.
hawaruhusiwi kuwa na rafiki asiye muislam,wanaenda mecca kubusu jiwe jeusi liwasamehe dhambi,kuzunguka kaaba mara saba,Tawaf,Ukimchokoza Al badr,wanaoa wake wengi,wanaruhusiwa kuoa watoto(hata kama hawajavunja ungo),wanaruhusiwa kuishi na watu kinafiki(taqqiya),wanaishi kama muarabu wa miaka 1000 iliyopita,wanafuga madevu,wanawake wanaficha sura,majuba na joto la dar,wanaume wanavaa magauni, wanaharibu sura makusudi(eti sigda)...aaagh vidole vimechoka kutype
 
Waislamu na yule wanayemuita mtume muhammad ni mashetani
ukisema hivo unakosea sasa mkubwa.
muhammad anaweza kuwa shetani lakini haimaanishi wote wanaomfuata wanamfuata kisawasawa to the dot.

tena asilimia kubwa ni wazuri na peaceful

NB:The p in islam stands for 'peace'
 
Back
Top Bottom