Takriban watu 50 wamekatwa vichwa na wapiganaji wa Kiislamu nchini Msumbiji

Mimi sikuwepo lakini nikiwa mfuatiliaji wa habari za aina hii kote duniani nimepata uzoefu sana wa kujua wapi ni kweli na wapi ni uwongo.Habari za kutunga kama una akili timamu ni wepesi sana kuzishika.Mfano hapo mwandishi yuko Maputo karibu na Afrika kusini lakini ana mdomo mrefu kuhusu eneo lililompakani na Tanzania.Na kila siku kukamilisha njama zahadhithi zao lazima waseme waliouwa walisema Allahu Akbar na eti walikuwa wakiwakata vichwa watu.
Inajulikana wareno wakristo ni watu makatili sana lakini nao pia hawakuwa wakiuwa watu kwa kuwakata vichwa kwenye viwanja vya mpira.Itakuwaje waislamu wafuasi wa dini inayopinga kuuliwa watu wafanye matendo haya tena kwa watu wanaowakamata tu.
Uwezekano tukio hilo halikuwepo na kama liltokea halikutekelezwa na waislamu na hao waliotekeleza si kwa kiasi hicho wala kwa namna hiyo.
Jimbo la waislamu la Cabo lina mafuta na gesi na madini muhimu.Hicho ndio chanzo cha fitina ili ipatikane sababu ya kuwaondoa waislamu kikatili na kusiwe wa kuwaonea huruma kote duniani. Watekelezaji wa ukatili huo ni wachina,mayahudi na wamarekani.Kwa ushahidi wa walioathirika na kulazimika kuhama ni kwamba kila walipohamishwa kwa namna hiyo haichukui muda eneo linachukuliwa na kujengwa majengo makubwa ya mbabeberu wa kichina na wenzao kila mmoja kivyake.
Sasa ndio nimeelewa msimamo wako.
 
Vip waroma nao na genge lao walifanya nn unajua kama toka Zaman Roman empire ndio bado inashikilia rikod ya kuuwa watu wengi mpaka Sasa wakifatiwa na Mongolia
Ni kweli umeongea so kama waliacha huo ujinga na ukaisha. .. so ni jambo la kupingwa na kila mtu zama hizi... wanaoendeleza mauaji kisa Dini na imani za kulazimishana.... TUKEMEE haswa wale wanaoweka Mbele majina ya Mungu wa Imani za watu walio safi mioyoni...
 
Dah!...inaonekana Serikali ya Msumbiji haina uwezo tena wa kuwadhibiti hawa wahuni, mbaya zaidi siku zinavyozidi kusonga ndivyo wanazidi kupata nguvu zaidi ya kuendeleza unyama.

Ni vyema Msumbiji iyaangukie mataifa yenye uzoefu wa kukabiliana na magenge kama haya ili wasaidiwe hasa kimafunzo kwa wanajeshi wao mfano wa hizo nchi ni Israel, Marekani, Uturuki,Urusi,Uingereza....hata nchi za Africa kama Misri,Algeria zinaweza kuwa msaada kwao.
 
Aise,hapana mimi hata Mtwara tu sikanyagi,nasema siendi mikoa yote ya kusini,kwanza nafata nini uko na kichwa changu iki kichafu!
 
Dah!...inaonekana Serikali ya Msumbiji haina uwezo tena wa kuwadhibiti hawa wahuni, mbaya zaidi siku zinavyozidi kusonga ndivyo wanazidi kupata nguvu zaidi ya kuendeleza unyama.

Ni vyema Msumbiji iyaangukie mataifa yenye uzoefu wa kukabiliana na magenge kama haya ili wasaidiwe hasa kimafunzo kwa wanajeshi wao mfano wa hizo nchi ni Israel, Marekani, Uturuki,Urusi,Uingereza....hata nchi za Africa kama Misri,Algeria zinaweza kuwa msaada kwao.
Yani wakatie kitumbua chao mchanga!!
 
Watajuana huko. Kama nia yao Tz tujichanganye wamebugi. Tunafanya yetu huku. Labda waje huku upande wa tz, na wakija tunachinja kimyakimya tunawala supu. Hata hatutangazi.
Waje mara ngapi,huoni hata kampeni hatukupeleka lindi na mtwara
 
Mimi sikuwepo lakini nikiwa mfuatiliaji wa habari za aina hii kote duniani nimepata uzoefu sana wa kujua wapi ni kweli na wapi ni uwongo.

Habari za kutunga kama una akili timamu ni wepesi sana kuzishika.Mfano hapo mwandishi yuko Maputo karibu na Afrika kusini lakini ana mdomo mrefu kuhusu eneo lililompakani na Tanzania.Na kila siku kukamilisha njama zahadhithi zao lazima waseme waliouwa walisema Allahu Akbar na eti walikuwa wakiwakata vichwa watu.

Inajulikana wareno wakristo ni watu makatili sana lakini nao pia hawakuwa wakiuwa watu kwa kuwakata vichwa kwenye viwanja vya mpira.

Itakuwaje waislamu wafuasi wa dini inayopinga kuuliwa watu wafanye matendo haya tena kwa watu wanaowakamata tu.
Uwezekano tukio hilo halikuwepo na kama liltokea halikutekelezwa na waislamu na hao waliotekeleza si kwa kiasi hicho wala kwa namna hiyo.

Jimbo la waislamu la Cabo lina mafuta na gesi na madini muhimu.Hicho ndio chanzo cha fitina ili ipatikane sababu ya kuwaondoa waislamu kikatili na kusiwe wa kuwaonea huruma kote duniani. Watekelezaji wa ukatili huo ni wachina,mayahudi na wamarekani.

Kwa ushahidi wa walioathirika na kulazimika kuhama ni kwamba kila walipohamishwa kwa namna hiyo haichukui muda eneo linachukuliwa na kujengwa majengo makubwa ya mbabeberu wa kichina na wenzao kila mmoja kivyake.
Certified idiot.

Kwahiyo TBC- Dar Es Salaam wakitangaza habari za mtu kufa huko kigoma itakuwa ni uzushi kwasababu kigoma na dar Ni mbali ?

Hivi hicho kichwa umehifadhi matofali ya kuchoma badala ya ubongo
 
Mimi sikuwepo lakini nikiwa mfuatiliaji wa habari za aina hii kote duniani nimepata uzoefu sana wa kujua wapi ni kweli na wapi ni uwongo.

Habari za kutunga kama una akili timamu ni wepesi sana kuzishika.Mfano hapo mwandishi yuko Maputo karibu na Afrika kusini lakini ana mdomo mrefu kuhusu eneo lililompakani na Tanzania.Na kila siku kukamilisha njama zahadhithi zao lazima waseme waliouwa walisema Allahu Akbar na eti walikuwa wakiwakata vichwa watu.

Inajulikana wareno wakristo ni watu makatili sana lakini nao pia hawakuwa wakiuwa watu kwa kuwakata vichwa kwenye viwanja vya mpira.

Itakuwaje waislamu wafuasi wa dini inayopinga kuuliwa watu wafanye matendo haya tena kwa watu wanaowakamata tu.
Uwezekano tukio hilo halikuwepo na kama liltokea halikutekelezwa na waislamu na hao waliotekeleza si kwa kiasi hicho wala kwa namna hiyo.

Jimbo la waislamu la Cabo lina mafuta na gesi na madini muhimu.Hicho ndio chanzo cha fitina ili ipatikane sababu ya kuwaondoa waislamu kikatili na kusiwe wa kuwaonea huruma kote duniani. Watekelezaji wa ukatili huo ni wachina,mayahudi na wamarekani.

Kwa ushahidi wa walioathirika na kulazimika kuhama ni kwamba kila walipohamishwa kwa namna hiyo haichukui muda eneo linachukuliwa na kujengwa majengo makubwa ya mbabeberu wa kichina na wenzao kila mmoja kivyake.
We Alah akibaru,kwa misimamo hiyo wamekuacha tu uwemo humu?.
 
Hawa watu wanafanana na aliyeanzisha Operation No Living Thing huko Sierra Leone. Alianzisha mapinduzi ya kijeshi ili achukue madaraka aongoze nchi.

Kisha akaanzisha hiyo operation iliyolenga kuua kila mtu Sierra Leone (in case ulishangaa kwanini iitwe vile).

So alipambana aje kutawala kisha anaua kila aliye hai now unajiuliza sasa atamtawala nani? Same na hawa. Wanataka kuunda utawala wa kiislamu lakini watachinja na kuua kadri wanavyoweza sasa huo utawala utamtawala nani?
Umeongea pumba. Wenyewe hata wakibaki peke yao,shida yao sio kutawala watu,shida yao ni kutawala maeneo yenye utajiri.
 
Watajuana huko. Kama nia yao Tz tujichanganye wamebugi. Tunafanya yetu huku. Labda waje huku upande wa tz, na wakija tunachinja kimyakimya tunawala supu. Hata hatutangazi.
Kwani unadhani hawajaja mkuu, sisi huku kwetu majuzi tu tumemzika mwanajeshi aliyekufa katika mapambano dhidi ya magaidi hao huko sijui mtwara. Walishaingia na mapambano yanaendelea ila Ni kimya kimya. Ndio maana kipind Cha kampeni hata bwana mkubwa hakwenda kupiga kampeni mikoa ya huko.
 
Dah!...inaonekana Serikali ya Msumbiji haina uwezo tena wa kuwadhibiti hawa wahuni, mbaya zaidi siku zinavyozidi kusonga ndivyo wanazidi kupata nguvu zaidi ya kuendeleza unyama.

Ni vyema Msumbiji iyaangukie mataifa yenye uzoefu wa kukabiliana na magenge kama haya ili wasaidiwe hasa kimafunzo kwa wanajeshi wao mfano wa hizo nchi ni Israel, Marekani, Uturuki,Urusi,Uingereza....hata nchi za Africa kama Misri,Algeria zinaweza kuwa msaada kwao.
Hata Tz tu mkuu itawafuta hawa wajinga. Tatizo la nchi zetu hizi za kiafrika wanaona kusaidiana kuwateketeza hawa wajinga ni kuwakaribisha kufanya uharifu ndani mwako kama ilivyo tokea kwa kenya na alshabab. Lakini wasichokiona hawa magaidi wa kiislam hawa wenye misimamo mikali kwa siku za karibuni wanavamia tu mahala popote,bila kuangalia kama mna uhasama nao.
 
Mimi sikuwepo lakini nikiwa mfuatiliaji wa habari za aina hii kote duniani nimepata uzoefu sana wa kujua wapi ni kweli na wapi ni uwongo.

Habari za kutunga kama una akili timamu ni wepesi sana kuzishika.Mfano hapo mwandishi yuko Maputo karibu na Afrika kusini lakini ana mdomo mrefu kuhusu eneo lililompakani na Tanzania.Na kila siku kukamilisha njama zahadhithi zao lazima waseme waliouwa walisema Allahu Akbar na eti walikuwa wakiwakata vichwa watu.

Inajulikana wareno wakristo ni watu makatili sana lakini nao pia hawakuwa wakiuwa watu kwa kuwakata vichwa kwenye viwanja vya mpira.

Itakuwaje waislamu wafuasi wa dini inayopinga kuuliwa watu wafanye matendo haya tena kwa watu wanaowakamata tu.
Uwezekano tukio hilo halikuwepo na kama liltokea halikutekelezwa na waislamu na hao waliotekeleza si kwa kiasi hicho wala kwa namna hiyo.

Jimbo la waislamu la Cabo lina mafuta na gesi na madini muhimu.Hicho ndio chanzo cha fitina ili ipatikane sababu ya kuwaondoa waislamu kikatili na kusiwe wa kuwaonea huruma kote duniani. Watekelezaji wa ukatili huo ni wachina,mayahudi na wamarekani.

Kwa ushahidi wa walioathirika na kulazimika kuhama ni kwamba kila walipohamishwa kwa namna hiyo haichukui muda eneo linachukuliwa na kujengwa majengo makubwa ya mbabeberu wa kichina na wenzao kila mmoja kivyake.
wewe ni mjinga usietaka kuelimika, rudia habari, BBC wanukuu chombo cha serikali kilicho nukukuu manusura wa tukio hilo

maneno mengi ujinga mtupu, mnakimbiliaga kujibu bila kusoma
 
Back
Top Bottom