BEIRUT: Wapiganaji 4 wa Hezbollah wauawa baada ya Israel kuvurumisha Makombora kuelekea nchini Lebanon

MTZ 255Dar

JF-Expert Member
Sep 25, 2018
1,114
3,768
Wapiganaji 4 wa Kikundi cha wanamgambo wa Hezbollah wa Lebanon wameuawa baada ya makombora ya Israel kuvurumishwa kuelekea huko. Hayo yanajili ikiwa ni baada ya wanamgambo hao kurusha Marocket kuelekea eneo la SHEBAH FARMS ambalo lilitekwa na Israel kutoka Lebanon katika vita ya mwaka 1967. Baada ya tukio hilo, Israel ilijibu kwa kurusha makombora kuelekea ngome za Wapiganaji hao kwenye mpaka wa Israel na Lebanon.

Hayo yakijili, zaidi ya wapiganaji 67 wa Kiislam waliojaribu kupenyeza mpaka wa Israel ili kwenda kuwasaidia HAMAS waliuliwa na ndege zisizo na rubani za Israel kabla ya kuufikia mpaka huo.

Death toll surpasses 1,300 as Israel strikes Gaza and fierce battles intensify between Hamas gunmen and Israeli troops. Fierce Israeli bombing rocks Gaza through the night, death toll rises
 
Kunawakati yatupasakujuwa tunapoelekea wapi badala ya kupiga makelele jamani.
 
Hezbullah kisha piga camp.mbili za Israel sijui waisrael wangapi watakuwa wamekufa na hio ni first warning from Hezbullah
Hakuna kitu kama hicho. Ila kama ukiongea hivyo inakupa unafaa kimaisha basi endelea ujitibu.
 
Unapoweka taarifa weka na ushahidi, source ya habari.Sasa unaandika kama tu bila source kama vile mlevi wa gongo anayeropoka tu🤔
Achana naye huyo. Akiongea hivyo anajisikia kama amekata kiu.
 
Hakuna kitu kama hicho. Ila kama ukiongoa hivyo unakupa unafaa kimaisha basi endelea ujitibu.
Achana na hawa wavaa vipedo na makobazi wabishi balaa.Wewe umeweka source ya habari, Tena toka TV Yao pendwa hawa wafuga madevu, Al-Jazeera 🤔
 
Haya tuone kama mashoga watasogeza tena moto wao kwa Hezbullah ndio itakuwa kiama Chao mashoga
 
Wapiganaji 4 wa Kikundi cha wanamgambo wa Hezbollah wa Lebanon wameuawa baada ya makombora ya Israel kuvurumishwa kuelekea huko. Hayo yanajili ikiwa ni baada ya wanamgambo hao kurusha Marocket kuelekea eneo la SHEBAH FARMS ambalo lilitekwa na Israel kutoka Lebanon katika vita ya mwaka 1967. Baada ya tukio hilo, Israel ilijibu kwa kurusha makombora kuelekea ngome za Wapiganaji hao kwenye mpaka wa Israel na Lebanon.

Hayo yakijili, zaidi ya wapiganaji 67 wa Kiislam waliojaribu kupenyeza mpaka wa Israel ili kwenda kuwasaidia HAMAS waliuliwa na ndege zisizo na rubani za Israel kabla ya kuufikia mpaka huo.

Death toll surpasses 1,300 as Israel strikes Gaza and fierce battles intensify between Hamas gunmen and Israeli troops. Fierce Israeli bombing rocks Gaza through the night, death toll rises
Sasa Hezbollah wanajipendekeza kwenye vita isiyowahusu Iran yenyewe imewaruka hammas imesema haihusiki

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Unapoweka taarifa weka na ushahidi, source ya habari.Sasa unaandika tu bila source kama vile mlevi wa gongo anayeropoka tu hovyo
Ulipaswa uanze wew kwanza kuweka source ya habar uliyoleta kuhusu hao wanaopenda chini na kuozeshwa mabikra 72
 
Hezbullah kisha piga camp.mbili za Israel sijui waisrael wangapi watakuwa wamekufa na hio ni first warning from Hezbullah
Wewe hauna uhalisia unaleta mahaba ya washia hapa, hakuna camp hata moja ya Israel iliyoguswa Israel imewakalia vibaya watu wa Iran
 
Back
Top Bottom