Taja madeni yako unayodaiwa

Taja madeni yako unayodaiwa

Nadaiwa milion800 benk wameuza vitu vyangu mpaka wamemaliza ajabu meneja ananipigia simu wanataka waniuze na mimi kujazia deni,, nikasema pouwa mnada lini na pia mnaniuza shingap ili nibakiwe na pesa ya kura bado hawajanipa majibu
 
Ila Mimi kuna kitu mtanisaidia watu wa fungu la kumi. Kiukweli cjawah kulitoa linavyotakiwa ila pia ikitokea ninatoa mimi huwa namuambia Mungu kabisa hii nimeitenga ni fungu la kumi naenda kutoa. Mara nyingi naenda pale mburahati kwa watoto na watu wazima wasiojiweza nalipia ada na umeme na chakula. Huku kwetu Catholic natoa labda 50 pa month. Viongoz wanaosimamia hiz taasisi za dini nimeshindwa kabisa kuwaamin japo ni agizo la Mungu mniombee.
Kuna paroko kamjengea lodge mdogo wake mke wangu nimeingia ganzi hata kwenda kusali mi siku hizi naongea na Mungu moja kwa moja akinichunia basi
 
Kwelii Yani nlikua naziweka halopesa sababu ya kukosa mda kwenda church nikaziweka humo eeh December nikaenda likizo Yan nikajukuta natumia Ile ela Huku nasema nitairudisha nikamuomba Mungu anisamehe nitamurudishia ela yake
Hizo hela wasaidie wahitaji ukipeleka kanisani umeliwa siku hizi wahitaji ni wengi kuliko kupeleka kwa hawa viongozi wetu wa dini wenye vitambi.
 
Ila Mimi kuna kitu mtanisaidia watu wa fungu la kumi. Kiukweli cjawah kulitoa linavyotakiwa ila pia ikitokea ninatoa mimi huwa namuambia Mungu kabisa hii nimeitenga ni fungu la kumi naenda kutoa. Mara nyingi naenda pale mburahati kwa watoto na watu wazima wasiojiweza nalipia ada na umeme na chakula. Huku kwetu Catholic natoa labda 50 pa month. Viongoz wanaosimamia hiz taasisi za dini nimeshindwa kabisa kuwaamin japo ni agizo la Mungu mniombee.
Kama uko mburahati Kwa fr kasembo zaka ulipe Kwa mfumo wa sadaka digital direct mkuu
 
Mkopo 1 - 750,000/mwezi bado 3yrs
Mkopo 2 - 380,000/mwezi bado 2yrs
Mkopo 3 - 240,000/ mwez bado 1yr
Mkopo 4 - 138,000/mwez bado 2yrs
Mkopo 5 - 450,000 salary advance

Ukiacha salary advance hiyo mikopo yote nikikatwa nabaki na take home 700,000/. Ila mwez huu watakata salary advance ntabaki na 250k. Ntachukua tena advance
Noncense wenye akili tushajua ni chai. Maana kwa mshahara unaoweza kukopesheka amount yote hiyo ni kama milioni 7 ama 8 sasa 3/4 inayotakiwa kubaki nayo haiwezi kuwa laki7 hata siku moja
 
CRDB makato 3,450,000 kila mwezi,salary advance 2,100,000.00 inakatwa yote end of January 2024 na sina stress
 
Back
Top Bottom