Taja madeni yako unayodaiwa

Taja madeni yako unayodaiwa

Mkopo 1 - 750,000/mwezi bado 3yrs
Mkopo 2 - 380,000/mwezi bado 2yrs
Mkopo 3 - 240,000/ mwez bado 1yr
Mkopo 4 - 138,000/mwez bado 2yrs
Mkopo 5 - 450,000 salary advance

Ukiacha salary advance hiyo mikopo yote nikikatwa nabaki na take home 700,000/. Ila mwez huu watakata salary advance ntabaki na 250k. Ntachukua tena advance
Legend of the game.
 
Hao bank peke yao wengine hawanisumbui.
 
Attachments

  • Screenshot_20240116_181148_Chrome.jpg
    Screenshot_20240116_181148_Chrome.jpg
    5.5 KB · Views: 32
Moja ya siraha yangu kubwa ktk madeni ni kutokuyajumlisha,

Kila anaenidai au kila nnapodaiwa hua nna lipa kivyake paspo kujua jumla ya madeni yote...

Hii imenifanya niwashangaze watu wangu wa karibu wanaoogopa madeni, "husema mwamba ana madeni lakini hana stress?

Kuna watu madeni yanawatia stress wanashindwa hata kula wakiyawaza wanaishia kufakufa tuwasaidie kwa kuwatajia madeni yetu ili wajione Hawapo peke yao.
Nikianza na Mimi mwenyewe.
1.mkopo wa BOT(hazina)kila mwez 160000
2.mkopo NMB kila mwezi 120000
3.Nyangao credit 90000 kila mwez bado miez miwili nimalize
4.mama mwenye nyumba kodi 240000 miez mitatu
5.MGODI VODACOM 70000
6.dukani kwa Rashid 30000
7.nipige Tafu 21000
8.fundi Fulani 50000
9.maji na umeme 15000
10.mfanyakazi mwenzangu alinikopesha 20000
11.kwenye Mabar huwa sina madeni Makubwa ni kama 25000

Mimi nayowadai watu ni kama laki na kitu.
 
Kadi ya CCM kuanzia 2020 hadi Sasa Tsh 36,000
 
Back
Top Bottom