Taja madeni yako unayodaiwa

Taja madeni yako unayodaiwa

Kuna watu madeni yanawatia stress wanashindwa hata kula wakiyawaza wanaishia kufakufa tuwasaidie kwa kuwatajia madeni yetu ili wajione Hawapo peke yao.
Nikianza na Mimi mwenyewe.
1.mkopo wa BOT(hazina)kila mwez 160000
2.mkopo NMB kila mwezi 120000
3.Nyangao credit 90000 kila mwez bado miez miwili nimalize
4.mama mwenye nyumba kodi 240000 miez mitatu
5.MGODI VODACOM 70000
6.dukani kwa Rashid 30000
7.nipige Tafu 21000
8.fundi Fulani 50000
9.maji na umeme 15000
10.mfanyakazi mwenzangu alinikopesha 20000
11.kwenye Mabar huwa sina madeni Makubwa ni kama 25000



Mimi nayowadai watu ni kama laki na kitu.
Basi wewe ni kunguru wa maisha,wengine Madeni B kadhaa🤣
 
Sidaiwi ila kwakweli Tigo nawashukuru kuleta hii kitu
 

Attachments

  • Screenshot_20240116_175318_Phone.jpg
    Screenshot_20240116_175318_Phone.jpg
    101.1 KB · Views: 36
Mkopo 1 - 750,000/mwezi bado 3yrs
Mkopo 2 - 380,000/mwezi bado 2yrs
Mkopo 3 - 240,000/ mwez bado 1yr
Mkopo 4 - 138,000/mwez bado 2yrs
Mkopo 5 - 450,000 salary advance

Ukiacha salary advance hiyo mikopo yote nikikatwa nabaki na take home 700,000/. Ila mwez huu watakata salary advance ntabaki na 250k. Ntachukua tena advance
 
Mkopo 1 - 750,000/mwezi bado 3yrs
Mkopo 2 - 380,000/mwezi bado 2yrs
Mkopo 3 - 240,000/ mwez bado 1yr
Mkopo 4 - 138,000/mwez bado 2yrs
Mkopo 5 - 450,000 salary advance

Ukiacha salary advance hiyo mikopo yote nikikatwa nabaki na take home 700,000/. Ila mwez huu watakata salary advance ntabaki na 250k. Ntachukua tena advance
Mkuu jiunge haraka UWABATA wakiisoma hii umekwishaa 😂

Alisikika mshamba mmoja akisema haya
 
Nadaiwa mpaka sioni cha ajab kuhusu madeni.
Yan kifupi nimeanza kufanana na deni so hata siogopi..honeatly sikumbuki ni mangapi ila mengi sana. Kumudu kudaiwa ni kipaji sana. Sema tu hakikisha una afya, hii carreer haihitaji wagonjwa wagonjwa kama presha, moyo na kisukari..utakufa siku si zako
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkopo 1 - 750,000/mwezi bado 3yrs
Mkopo 2 - 380,000/mwezi bado 2yrs
Mkopo 3 - 240,000/ mwez bado 1yr
Mkopo 4 - 138,000/mwez bado 2yrs
Mkopo 5 - 450,000 salary advance

Ukiacha salary advance hiyo mikopo yote nikikatwa nabaki na take home 700,000/. Ila mwez huu watakata salary advance ntabaki na 250k. Ntachukua tena advance
Dah mkuu uko TPDC nini mimi baada ya kukatwa miwili ya bank nabaki na 345000
Hio nikisema niisambaze kwa wenyewe ni siku mbili tu nabaki na HEWA...vipi wa loans board huna?
 
Back
Top Bottom