Taja madeni yako unayodaiwa

Taja madeni yako unayodaiwa

Mkopo 1 - 750,000/mwezi bado 3yrs
Mkopo 2 - 380,000/mwezi bado 2yrs
Mkopo 3 - 240,000/ mwez bado 1yr
Mkopo 4 - 138,000/mwez bado 2yrs
Mkopo 5 - 450,000 salary advance

Ukiacha salary advance hiyo mikopo yote nikikatwa nabaki na take home 700,000/. Ila mwez huu watakata salary advance ntabaki na 250k. Ntachukua tena advance
Wee ndio unajuwa kukopa
 
Noncense wenye akili tushajua ni chai. Maana kwa mshahara unaoweza kukopesheka amount yote hiyo ni kama milioni 7 ama 8 sasa 3/4 inayotakiwa kubaki nayo haiwezi kuwa laki7 hata siku moja
Hesabu zimekupiga chenga. Huyo mshahara wake ni take home ya 2m tu. 1/3 haitakiwi kupungua 690k. Hapo hesabu zinaweza kukubali ikiwa salary advance haihesabiwi kwenye 1/3
 
Kuna watu madeni yanawatia stress wanashindwa hata kula wakiyawaza wanaishia kufakufa tuwasaidie kwa kuwatajia madeni yetu ili wajione Hawapo peke yao.

Nikianza na Mimi mwenyewe.

1. Mkopo wa BOT(hazina)kila mwez 160000
2. Mkopo NMB kila mwezi 120000
3. Nyangao credit 90000 kila mwez bado miez miwili nimalize
4. Mama mwenye nyumba kodi 240000 miez mitatu
5. MGODI VODACOM 70000
6. Dukani kwa Rashid 30000
7. Nipige Tafu 21000
8. Fundi Fulani 50000
9. Maji na umeme 15000
10. Mfanyakazi mwenzangu alinikopesha 20000
11. Kwenye Mabar huwa sina madeni Makubwa ni kama 25000

Mimi nayowadai watu ni kama laki na kitu.
Hyo mikopo hasa no1,2 na 3 uliifanyia nn
 
Kuna mengine yapo kwenye check list nyingine, but InshaAllah by June ntakua nime-clear madeni yangu yote. Na nnaowadai nao watakua wamefanikiwa kunilipa nikule 🪿 🦆
Screenshot_20240116_225839_ColorNote.jpg
 
Mi ndo mshika fedha kwenye kikundi cha ukoo hela nimekula almost 495,000
Kina sehemu nilichukua tyre nikauza hela nikaenda kulipia ada ya mtoto 260,000
Nadaiwa na ofisi 430,000 nililipwa pesa ya tyre nikaila yote
Ila na mimi kuna mtu namdai 200,000
 
Noncense wenye akili tushajua ni chai. Maana kwa mshahara unaoweza kukopesheka amount yote hiyo ni kama milioni 7 ama 8 sasa 3/4 inayotakiwa kubaki nayo haiwezi kuwa laki7 hata siku moja
Ujuaji mwingi mbele kiza,mambo ya 3/4 inatoka wapi kwny mikopo ya watumishi?
 
Kuna watu madeni yanawatia stress wanashindwa hata kula wakiyawaza wanaishia kufakufa tuwasaidie kwa kuwatajia madeni yetu ili wajione Hawapo peke yao.

Nikianza na Mimi mwenyewe.

1. Mkopo wa BOT(hazina)kila mwez 160000
2. Mkopo NMB kila mwezi 120000
3. Nyangao credit 90000 kila mwez bado miez miwili nimalize
4. Mama mwenye nyumba kodi 240000 miez mitatu
5. MGODI VODACOM 70000
6. Dukani kwa Rashid 30000
7. Nipige Tafu 21000
8. Fundi Fulani 50000
9. Maji na umeme 15000
10. Mfanyakazi mwenzangu alinikopesha 20000
11. Kwenye Mabar huwa sina madeni Makubwa ni kama 25000

Mimi nayowadai watu ni kama laki na kitu.
1705437434463.png
 
Back
Top Bottom