Taja madeni yako unayodaiwa

Taja madeni yako unayodaiwa

Kuna watu madeni yanawatia stress wanashindwa hata kula wakiyawaza wanaishia kufakufa tuwasaidie kwa kuwatajia madeni yetu ili wajione Hawapo peke yao.
Nikianza na Mimi mwenyewe.
1.mkopo wa BOT(hazina)kila mwez 160000
2.mkopo NMB kila mwezi 120000
3.Nyangao credit 90000 kila mwez bado miez miwili nimalize
4.mama mwenye nyumba kodi 240000 miez mitatu
5.MGODI VODACOM 70000
6.dukani kwa Rashid 30000
7.nipige Tafu 21000
8.fundi Fulani 50000
9.maji na umeme 15000
10.mfanyakazi mwenzangu alinikopesha 20000
11.kwenye Mabar huwa sina madeni Makubwa ni kama 25000

Mimi nayowadai watu ni kama laki na kitu.
Una madeni kidogo sana.Ngoja mimi nitulie nisije kuwaamsha wanaonidai bure.
 
Tanzania kuna biashara moja nzuri sana, serikali ikikupa kibali cha kuweka jela kwa wanaodaiwa.

Madeni yatapunguwa, watu watalipiana na mwenye jela atafanya faida. Mpango wa Kiislam huo, raha sana.

Ushahidi wa kudaiwa ukiwepo unawekwa ndani mpaka deni lishe. Sasa huko ndani ni lazima ujinunulie chakula na mahitaji yako yote.

Mradi inajulikana upo jela sasa ndugu wawache michango ya harusi wawalipie jamaa zao madeni kwanza watoke jela.

Inasaidia sana watu kurudisha madeni yao.
 
Tanzania kuna biashara moja nzuri sana, serikali ikikupa kibali cha kuweka jela wa wanaodaiwa.

Madeni yatapunguwa, watu watalipiana na mwenye jela atafanya faida. Mpango wa Kiislam huo, raha sana.

Ushahidi wa kudaiwa ukiwepo unawekwa ndani mpaka deni lishe. Sasa huko ndani ni lazima ujinunulie chakula na mahitaji yako yote.

Mradi inajulikana upo jela sasa ndugu wawache michango ya harusi wawalipie jamaa zao kwanza watoke jela.

Inasaidia sana watu kurudisha madeni yao.
Unataka tusipate usingizi na madeni yetu?
 
Unataka tusipate usingizi na madeni yetu?
Huko ndiyo unalala kwa raha kama gesti tu, unajuwa ndugu, jamaa na marafiki na kwa sisi Waislam watowa zaka watalipa tu.

Kundi moja linaloruhusiwa kupewa zaka ni Muilam kuwalipia wenye madeni.

Umeona raha hiyo?
 
Kuna mtu ananidai cha ajabu nimeenda kumweleza siwezi kumkopa ndani ya mda akanipigia dua alafu akaniambia niendelee kumkopa, yaan kanisisitiza nisiache kumkopa
Mkopo 1 - 750,000/mwezi bado 3yrs
Mkopo 2 - 380,000/mwezi bado 2yrs
Mkopo 3 - 240,000/ mwez bado 1yr
Mkopo 4 - 138,000/mwez bado 2yrs
Mkopo 5 - 450,000 salary advance

Ukiacha salary advance hiyo mikopo yote nikikatwa nabaki na take home 700,000/. Ila mwez huu watakata salary advance ntabaki na 250k. Ntachukua tena advance
Huu Uzi uwekewe lamination. Binafsi ninadaiwa kama 30m, benki na kausha damu mtaani (jumla)
 
Mmmmmhhhuu
Sijui nianze na
Branch
Vodacom kamilisha wakala
Tigo
Airtel
M pawa line 2
Songesha line 2
Onepesa.a.k.a baromo wana matusi htari
M safi deni linaongezeka kila siku 2000
Mkopo safi
Cash x
Vicoba
Nmb nimeandika barua ya kupunguziwa rehesho na wamekubari maana nyumba nisharoga haiuziki zaid ya mara 3
Mtaani nilikuwa nadaiwa 2m nazo mmama alileta kuweka sikumuomba nishamlipa imebaki 1.5k
Nazodai 3.5m kwa mwanangu na sijawhi pewa hta mia toka 2020
Nimekuja gundua kuna rafiki na washkji
Na rafiki 1 tu hadi sasa ambae tunaweza tusiwasiriane nae miez 2 ila shida tunatimiziana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania kuna biashara moja nzuri sana, serikali ikikupa kibali cha kuweka jela wa wanaodaiwa.

Madeni yatapunguwa, watu watalipiana na mwenye jela atafanya faida. Mpango wa Kiislam huo, raha sana.

Ushahidi wa kudaiwa ukiwepo unawekwa ndani mpaka deni lishe. Sasa huko ndani ni lazima ujinunulie chakula na mahitaji yako yote.

Mradi inajulikana upo jela sasa ndugu wawache michango ya harusi wawalipie jamaa zao kwanza watoke jela.

Inasaidia sana watu kurudisha madeni yao.
We utopolo kwelikweli

Hayo madeni ianze kulipa serikali kwanza ndio tuje sisi raia
 
Kuna watu madeni yanawatia stress wanashindwa hata kula wakiyawaza wanaishia kufakufa tuwasaidie kwa kuwatajia madeni yetu ili wajione Hawapo peke yao.
Nikianza na Mimi mwenyewe.
1.mkopo wa BOT(hazina)kila mwez 160000
2.mkopo NMB kila mwezi 120000
3.Nyangao credit 90000 kila mwez bado miez miwili nimalize
4.mama mwenye nyumba kodi 240000 miez mitatu
5.MGODI VODACOM 70000
6.dukani kwa Rashid 30000
7.nipige Tafu 21000
8.fundi Fulani 50000
9.maji na umeme 15000
10.mfanyakazi mwenzangu alinikopesha 20000
11.kwenye Mabar huwa sina madeni Makubwa ni kama 25000

Mimi nayowadai watu ni kama laki na kitu.
Kumbe upo nyangao😂
 
We utopolo kwelikweli

Hayo madeni ianze kulipa serikali kwanza ndio tuje sisi raia
Jela hiyo ni kwa wadaiwa sugu na wanaoshindwa kulipa.

Serikali ilikwambia imeshindwa kulipa madeni? Ikishindwa kulipa si unasikia ndege zinakamatwa?

Sasa wewe mwenzangi na mie pengine una kijumba chako kimoja ndicho umeweka familia yako, kikipigwa mnada si balaa hilo? Ni heri ukakae jela jamaa zako wafanye mipango ya kukulipia kuliko kuhangaisha familia yako.

Ndiyo maana kwetu sisi mke hakai nyumba ya mume hata kidogo. Ni lazima tumjengee kwanza ndiyo aolewe.
 
Back
Top Bottom