Taja madeni yako unayodaiwa

Taja madeni yako unayodaiwa

Mkopo 1 - 750,000/mwezi bado 3yrs
Mkopo 2 - 380,000/mwezi bado 2yrs
Mkopo 3 - 240,000/ mwez bado 1yr
Mkopo 4 - 138,000/mwez bado 2yrs
Mkopo 5 - 450,000 salary advance

Ukiacha salary advance hiyo mikopo yote nikikatwa nabaki na take home 700,000/. Ila mwez huu watakata salary advance ntabaki na 250k. Ntachukua tena advance

Hope umekopa na pesa inazunguka mtaani
 
1. 1 M rafiki yangu ananidai nitampa februari mwezi huu aniache nipumue.

2. 26 K, nilipita kwa mangi nikachukua vitu, lipa kwa mpesa kwenda tigo pesa ikakataa, Mangi akaniambia nenda katoe utanipitishia, sijapita. Nikipita nitampa.

3. Fungu la kumi, huwa napeleka mahali, sijawa mwaminifu december mwishoni! 🤦🏻‍♀️ Mungu anisaidie nipeleke ndani ya siku 3 hizi.
Dah Mimi pia nadaiwa fungu la 10 aisee Nimejipanga nilipe this January na sitorudia tena kula ela ya fungu la 10
 
Kama kweli unataka kutoka kuna level ikifika inakuwa vigumu sana kufanya biashara bila mikopo sema ile himilivu japo sometimes kuna kujilipua. So kama biashara yako inakopesheka it means iko hai. Kopa kwa mipango na heshimu lengo la mkopo.
 
Ila Mimi kuna kitu mtanisaidia watu wa fungu la kumi. Kiukweli cjawah kulitoa linavyotakiwa ila pia ikitokea ninatoa mimi huwa namuambia Mungu kabisa hii nimeitenga ni fungu la kumi naenda kutoa. Mara nyingi naenda pale mburahati kwa watoto na watu wazima wasiojiweza nalipia ada na umeme na chakula. Huku kwetu Catholic natoa labda 50 pa month. Viongoz wanaosimamia hiz taasisi za dini nimeshindwa kabisa kuwaamin japo ni agizo la Mungu mniombee.
 
Uko sahihi Mkuu ..fungu la kumi unaweza peleka madhabahuni,au kumtumia mtumishi wa Mungu wa kweli au kupeleka Kwa yatima mjane hata wahitaji
 
Back
Top Bottom