Taja madeni yako unayodaiwa

Taja madeni yako unayodaiwa

Kuna watu madeni yanawatia stress wanashindwa hata kula wakiyawaza wanaishia kufakufa tuwasaidie kwa kuwatajia madeni yetu ili wajione Hawapo peke yao.

Nikianza na Mimi mwenyewe.

1. Mkopo wa BOT(hazina)kila mwez 160000
2. Mkopo NMB kila mwezi 120000
3. Nyangao credit 90000 kila mwez bado miez miwili nimalize
4. Mama mwenye nyumba kodi 240000 miez mitatu
5. MGODI VODACOM 70000
6. Dukani kwa Rashid 30000
7. Nipige Tafu 21000
8. Fundi Fulani 50000
9. Maji na umeme 15000
10. Mfanyakazi mwenzangu alinikopesha 20000
11. Kwenye Mabar huwa sina madeni Makubwa ni kama 25000

Mimi nayowadai watu ni kama laki na kitu.
Madeni yako unatuambia sisi yanatuhusu nini?
 
Mgodi 12000
NMB MSHIKO FASTA 45000
SONGESHA 6300
MPAWA 9600
BUSTISHA 5000
 
Mkuu samahani nipo nje ya mada, u mean hiyo pesa uliweka kwa ajili ya kubet au ni maokoto ya kubet? Au kwenye account za bet unaweza tumia kwa ajili ya savings zako? Mi ni mgeni kabisa kwenye mambo ya betting na sikuwahi dhani mtu anaweza weka pesa kiasi hicho
Kwa kampuni kama 1xbet huwezi kutumia kama saving kwa sababu utakakapotaka kutoa watakataa kwa kuhisi labda lengo lako ilikuwa kutakatisha pesa.
Masharti yake mpaka ubetie kwa angalau odds 1.10.

Kwa hiyo kwenye akaunti ya betting sio sehemu salama ya savings.
 
Kuna watu madeni yanawatia stress wanashindwa hata kula wakiyawaza wanaishia kufakufa tuwasaidie kwa kuwatajia madeni yetu ili wajione Hawapo peke yao.

Nikianza na Mimi mwenyewe.

1. Mkopo wa BOT(hazina)kila mwez 160000
2. Mkopo NMB kila mwezi 120000
3. Nyangao credit 90000 kila mwez bado miez miwili nimalize
4. Mama mwenye nyumba kodi 240000 miez mitatu
5. MGODI VODACOM 70000
6. Dukani kwa Rashid 30000
7. Nipige Tafu 21000
8. Fundi Fulani 50000
9. Maji na umeme 15000
10. Mfanyakazi mwenzangu alinikopesha 20000
11. Kwenye Mabar huwa sina madeni Makubwa ni kama 25000

Mimi nayowadai watu ni kama laki na kitu.
Hongera kwa kumaliza deni la Bodi ya mikopo mkuu
 
Zamani nlikua nadhani wanaosumbua kulipa madeni ni wakorofii, ila maisha yana namna yake ya kukupa somo 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom