Taja kitu kimoja kizuri ambacho ex wako alikuwanacho

Taja kitu kimoja kizuri ambacho ex wako alikuwanacho

Nakumbuka tu viapo vyake vya kwamba hatokuja kuniacha sijui alirogwa na nani akaenda zake! mapenz haya
 
Nakumbuka tu viapo vyake vya kwamba hatokuja kuniacha sijui alirogwa na nani akaenda zake! mapenz haya
Inawezekana alipokuwa anakutamkia kuwa hawezi kukuacha ukawa unamchukulia poa unaona kwako ndo amefika hana kwa kwenda. Pole sana
 
Mcheshi.tulikuwa tunaongea hata masaa 3 kwenye simu.kwa siku hata mara 5 na text juuu.na hatuchoki.
Wa pili alinipenda sanaa muda wowote nikitaka ananipa mzigo.hajawahi kuniambia amechoka.
Wa tatu alikuwa mzuri ila mungu kamnyima akili.sio chizi bali ni kama alikuwa na akili za kitoto.msumbufu hatari.
 
Back
Top Bottom