TAIFA STARS ni Siasa pia

hii timu hawana ball possesion kabisa wanabaki kuokoa tu. naona Paulsen kachemsha sana

arudi Maximo tu alikuwa anaijenga timu vizuri sana lakini huyu anazidi kuiua
 
Tusubiri wachezaji warudi utasiki visingizio.
Team ilicheza vizuri tatizo ni joto la Morocco, kingine refa alikuwa upande wa Morocco
 
Mungu ibariki Tanzania Mungu wabariki JK boyz
tatizo lenu wabongo mnafanya mambo kienyeji, bila ya kushirikiana na wataalamu ambao mmewasomesha kwa gharama kubwa! hivi aliyewashauri kwamba timu ya taifa inahitaji kocha wa kigeni ni nani? yaani hii ni sawa na mtihani wa kidato cha nne halafu uwapelekee watoto wasiojua kusoma wala kuandika! kwa mfano ingekuwa vipi kama mngemshauri mheshimiwa kwamba badala ya kumleta kocha wa kigeni angeanzisha academy mpira kwa watoto wadogo wenye vipaji vya mpira, umri wa miaka minane hivi, mpaka leo hii watoto hawa wangekuwa na umri wa miaka 14 hivi; ambapo mapaka kufikia mwisho wa kipindi cha mh. kumalizika, watoto hawa wangekuwa wamefikisha umri wa mika 18; hapo sasa ndio mngeajiri kocha wa kigeni maana tayari kuna watoto wanaofundishika!!!

kwa taarifa yako ff watakaofuzu ni morocco na algeria
 
Wamefungwa tatu moja,nimepata muda kidogo kuangalia kuanzia dk ya 18,ukweli sikuweza kuona move hata moja ya Stars.Yani ckuona build up hata moja ya mashambulizi.
 
kuna haja ya kupumzika kushiriki michezo ya kimataifa tujipange sawasawa hizi gharama tunazoingia huku mafanikio yakiwa hayaonekani ni bora kuwekeza kwa kuijenga timu imara hata kwa miaka mitano.
 
hii timu hawana ball possesion kabisa wanabaki kuokoa tu. naona Paulsen kachemsha sana

arudi Maximo tu alikuwa anaijenga timu vizuri sana lakini huyu anazidi kuiua

yaani wanatumia nguvu nyingi sana kuokoa na kubwatua mipira. Hakuna hata mara moja waliweza kupiga lau pasi 4 !!!
 
Paulsen analipwa mamilioni ya pesa lakini matokeo yaki sifuri kabisa
Kwa maoni yangu kipindi cha maximo hali ilikuwa nzuri zaidi
 
hii timu hawana ball possesion kabisa wanabaki kuokoa tu. naona Paulsen kachemsha sana

arudi Maximo tu alikuwa anaijenga timu vizuri sana lakini huyu anazidi kuiua

huyu nae watz walimchoka wengiine kisa tu alikuwa na msimamo wa kuwancha tunaoamini wanauwezo km kaseja na wale 'wahuni' chuji na bobani. kwangu maximo alikuwa kocha muafaka kwa staz. huyu babu wa tenga hamna kitu!!!!
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Nimecheki hii mechi kwanzai mwazo hadi mwisho kupitia National TV ya Morocco, yaani mchozo wa Tz ni wa ajabu sana

Hata lile bao lillofungwa na TZ kabla ya mapumziko, pamoja na kwamba lilikuwa zuri sana, halijatokana na ufundi wa timu kugongeana mpira. yaani ilikuwa tu ni shuti la mbali la kushtukizia !!
Paulsen na peza za walipakodi, nasema basi , bora tu arudi kwao !!
 
Hivi kweli mlitegemea Tanzania kupita hapa na kuingia fainali za kombe la dunia? - Ama kweli ahadi zingine jamani hazina hata maana....
 
Ni ngumu kumpa Profesa afundishe darasa la saba, kweli tunahitaji kuwekeza kwenye mpira kuanzia academy, viwanja n.k. Kwa wachezaji tulionao hata akija Mourinho au Guardiola hamna kitu...
 
Hatutaki kubadilika, tunajua solutions ni nini lakini tunapenda short-cuts sana. Watu wanaruka vidato ili afanikiwe haraka, hiyo ni ndoto kwani ni very special case kwa kufanya hivyo unaweza kufanikio.

Tunahitaji kuwafunda vijana toka wakiwa wadogo hadi anakomaa! sijui wale jamaa wa TFF Academic ndo ilikuwa siasa au bado hawajakomaa hata mmoja?
 
Ckujuwa kama bado tuko nyuma kiasi hiki kwenye kandanda.Shukran Wed kwa kutuwekea link hapa kwani tumepata fursa ya kuona hali halisi ya stars.I was very dissapointed kwa kusema kweli.
 
Tanzania bana,tupo kundi hapa tukitaraji kodi zetu zinaweza kutuweza kuiona timu yetu live lkn matumaini yanazidi kupotea,ina maana tbc1 wamechemka kabisa.
Hao TBC1 wao wamekaa kisiasa zaidi, hawana uzalendo kabisa.
 
Tumejitahidi sana....!
Acha utani.Kodi za watu zimeliwa we unaleta utani.Kufungwa ndo kujitahidi gani huko na kocha mnaye expert?Haya mambo ya kujenga ghorofa hewani.Sawa na mambo yenu ya fly overs.
 
Back
Top Bottom