TAIFA STARS ni Siasa pia

la pili, ngoja nilale hii timu yetu pasua kichwa utashangaa tutapachikwa la tatu!
 
Tangu sasa dk 8 hivi, morocco wameweka kambi kwenye eneo la stars.
 
Mkitaka mshinde wacheni hizo Dua za Ibariki kwani Ndumba wanazotumia na Huyo Mungu anayeombwa lazima viendane tofauti Poleni Mnajifunga wenyewe Ondoeni kwanza kamati zenu zile za Ufundi Ndipo Muombe Dua Hakika Mtafanikiwa Nawakilisha tu oi
 
Sasa tusubiri sababu kama nh uchovu wa safari au uchovu kutoka ligi kuu na lile la hali ya hewa halitakosekana
 
Kwa mpira ule ninaouona kutoka kwa Stars hata mengine matatu tanawezekana. Faul za kijinga nyiingi

wanafanyiwa faulo kweli au wanaguswa tu wanajiangushwa mana warabu kwa kujiangusha hawajambo na watamzuga refa utadhani kagongwa na katapila!!
 
Hata kama watafungwa goli 2 -1 Tanzania wamejitahidi sana kwani inaonekana wamorocco leo wanacheza vizuri sana; kama siyo juhudi kubwa sana ya Tanzania kupangua mipira yao ha hatari tungeshafungwa zaidi ya magoli 6 hivi !
 
dkl ni ya 88 shamkh anakwenda benchi. nafasi yake inachukuliwa na namba 15
 
Kwa mpira ule ninaouona kutoka kwa Stars hata mengine matatu tanawezekana. Faul za kijinga nyiingi

wanafanyiwa faulo kweli au wanaguswa tu wanajiangushwa mana warabu kwa kujiangusha hawajambo na watamzuga refa utadhani kagongwa na katapila!!
 
dk sasa ni ya 95 moocco wanapata cona na namamwumiza Kaseja,

na mpira mumekwisha morocco wanashinda 3-1

Sasa inabidi tujadili hatima ya kocha. Sioni ni mafanikio gani ameiletea Tz tangu ameanza kuifundisha.

Kwa maoni yangu ni bora hata aliyokuwa Maximo
 
tumepigwa 3- 1 hadithi ile ile siku zote pesa tunazoharibu zingepelekwa shuleni zikajenge madarasa badala ya kutumiwa na watalii
 
Back
Top Bottom