Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 903
Sasa huyu Chamakh anaionea Tanzania tu, hakiwa Arsenal anazunguka tu kama saa
matokeo ni 1 kwa 1
Hapo kwenye Red Mkuu Unachanganya MadesaKasena ameokoa goli la wazi kabisa ameuondoa mpira miguuni mwa mchezaji mmoja wa moroko. Ameumia na amelala chini. Wachezaji wote wa T Stars wmemzunguka. Inaonekana maumivu ni makali sana !