utakuta wako biize kuonyesha taarab au sherehe za sisiemTanzania bana,tupo kundi hapa tukitaraji kodi zetu zinaweza kutuweza kuiona timu yetu live lkn matumaini yanazidi kupotea,ina maana tbc1 wamechemka kabisa.
Sio kashinda Neno Kushinda huwa linatumika baada ya mechi tu tena kuwepo anayeongoza Mkuu Ulitakiwa useme Morocco anaongoza Goli Moja...morocoo washashinda goli 1 ndgu