Taifa lolote lile duniani likiongozwa na Mtawala mwenye Mshauri Hawara ambaye nae ana Ushawishi sahau kuona Uwajibikaji sana sana Chuki itazidi

Tafadhali tuzingatie zaidi neno Taifa lolote lile Duniani nikimaanisha hapa inaweza kuwa ni nchi yoyote kama vile Malawi ya Kaskazini, Venezuela, Sudan Kusini na hapa Kisiwa cha Puerto Rico ambapo ndiyo makazi yangu tukuka GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.
What kind of uwajibikaji are u talking about? Where is relevance?
 
What kind of uwajibikaji are talking about? Where is relevance?
Uko Taifa gani / lipi lolote? Tuanzie hapa. Mimi niko nchi mbili hapa Kisiwani Puerto Rico na mara nyingine nakuweko nchi ya Malawi ya Kaskazini.
 
Tafadhali tuzingatie zaidi neno Taifa lolote lile Duniani nikimaanisha hapa inaweza kuwa ni nchi yoyote kama vile Malawi ya Kaskazini, Venezuela, Sudan Kusini na hapa Kisiwa cha Puerto Rico ambapo ndiyo makazi yangu tukuka GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.
Sisi wa Venezuela tunacomment wapi?
 
Uko Taifa gani / lipi lolote? Tuanzie hapa. Mimi niko nchi mbili hapa Kisiwani Puerto Rico na mara nyingine nakuweko nchi ya Malawi ya Kaskazini.
Jibu swali acha masimulizi: Relevance ya kukosa uwajibikaji ni ipi? Ni aina gani ya uwajibikaji unayoisemea?
 
Genta huwa na madini yake pia smtms..ingawa binfs kwenye soka sikubaliani nae vingi.
 
Back
Top Bottom