Taifa linavuliwa nguo

Taifa linavuliwa nguo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,000
Reaction score
828,770
Kama mifumo yetu ni dhaifu kiasi hiki basi maadui zetu siku wakiamua kutufanyia ubaya ni dakika tuu
Kabil analeta mafunuo ya kutisha Sana.. Anatufunulia uchi wa nchi tunauona mpaka ndani.. Kuna vitu vikubwa Sana anatufundisha kuhusiana na usalama wa nchi kwenye upande wa hifadhi na ulinzi data..!
Tanganyika mpya ikija mifumo yetu yote ya ulinzi na uhifadhi itabidi ijengwe upya

View: https://www.facebook.com/share/v/17ceRVfS7k/
 
Ni bahati mbaya sana idara nyingi serikalini zikiwemo zile nyeti kabisa! zimejaa vilaza waliopewa hizo nafasi kwa misingi ya ukada, undugu na uchawa! Badala ya uwezo binafsi wa watu, au uzalendo wao kwa Taifa.
downloadfile-1.jpg
 
Kama mifumo yetu ni dhaifu kiasi hiki basi maadui zetu siku wakiamua kutufanyia ubaya ni dakika tuu
Kabil analeta mafunuo ya kutisha Sana.. Anatufunulia uchi wa nchi tunauona mpaka ndani.. Kuna vitu vikubwa Sana anatufundisha kuhusiana na usalama wa nchi kwenye upande wa hifadhi na ulinzi data..!
Tanganyika mpya ikija mifumo yetu yote ya ulinzi na uhifadhi itabidi ijengwe upya

View: https://www.facebook.com/share/v/17ceRVfS7k/

Madhara ya kuongozwa na zero brain!
 
Watu wanazima mitandao siku Sita. Wamefunga twitter, JF, Tiktok ne bado wao wanapost huko. Sijui wanatumia VPN? Unaona wana aklií za ziáda.

Wangekuwa na akili nzr.
Ndo wangekuwa tena active huko mitandaoni, mara moja Rais naye anatengeneza content kuendana na kizazi cha sasa.
Hawaoni Ruto anatengeneza content akiingia ikulu asubuhi akiwa kabeba kikombe cha chai?
Siku moja Samia anatengeneza content ya my daily life as president uone kama hasingefuatiliwa. Mnakumbuka ile video yuko jikoni anapika na kanga, ilivyoleta attention.

If you can't fight them join them.

Sasa yeye kaamua kutumia mabavu na mwishowe kuua watz.
Wacha kimlambe. Na hatatawala kwa amani
 
Back
Top Bottom