Taifa linavuliwa nguo

Taifa linavuliwa nguo

Kama mifumo yetu ni dhaifu kiasi hiki basi maadui zetu siku wakiamua kutufanyia ubaya ni dakika tuu
Kabil analeta mafunuo ya kutisha Sana.. Anatufunulia uchi wa nchi tunauona mpaka ndani.. Kuna vitu vikubwa Sana anatufundisha kuhusiana na usalama wa nchi kwenye upande wa hifadhi na ulinzi data..!
Tanganyika mpya ikija mifumo yetu yote ya ulinzi na uhifadhi itabidi ijengwe upya

View: https://www.facebook.com/share/v/17ceRVfS7k/

Huyu dogo Mimi naona anaongea ongea tu lakini haleti evidence yoyote.
 
Anasema vijana wasifuate mkumbo wakati huo huo anasema watu walichukuliwa majumbani na hata yeye alikua tu kwenye harakati zake anyway kwa hilo namsamehe nadhani akili bado haijatulia
Hapa hata mimi kanishangaza Sana.. Inaelekea hapo ni maelekezo maalum
 
Hyo robot wenu kutengeneza wahusika wake ndo anawatumia kuwadanganya
 
Kama mifumo yetu ni dhaifu kiasi hiki basi maadui zetu siku wakiamua kutufanyia ubaya ni dakika tuu
Kabil analeta mafunuo ya kutisha Sana.. Anatufunulia uchi wa nchi tunauona mpaka ndani.. Kuna vitu vikubwa Sana anatufundisha kuhusiana na usalama wa nchi kwenye upande wa hifadhi na ulinzi data..!
Tanganyika mpya ikija mifumo yetu yote ya ulinzi na uhifadhi itabidi ijengwe upya

View: https://www.facebook.com/share/v/17ceRVfS7k/

Binafsi nashkuru sana kwa kuona tatizo hili kwasababu siri za Taifa zinazovuja baadae zitatumika na wahalifu kama fimbo ya kuchapa Taifa
 
Wameshajua mifumo yetu kiulinzi ni dhaifu mno!
 
Hyo robot wenu kutengeneza wahusika wake ndo anawatumia kuwadanganya
Truth doesn’t change just because people deny it, and lies don’t become right just because they’re accepted.
 
Leo nondo za Mr Habil zitachelewa maana wamezi burn account zote, wanahangaika kuzirejesha. Msione kimya tuombeeni vita ni kubwa.

Hawataki msikie ukweli, ccm wanavyojipa moyo utadhani utadhani January watafika vile 🤣🤣
 
Wameshajua mifumo yetu kiulinzi ni dhaifu mno!
Sana. Swala la Data ni zito sana duniani limeingiza Kampuni ya META kwenye adhabu za mara kwa mara zinazogharimu mabilion ya fedha. Pamoja na META kujitahidi kuficha taarifa za watumiaji bado wameendelea kuadhibiwa. Sipati picha kwa kijana huyu anatenda kosa kubwa kiasi gani, kama kampuni ya META imekuwa ikiadhibiwa kiasi hiki kwake sijui itakuwaje!

Meta has been fined billions of euros for data policy violations, including a record

€1.2€ 1.2
billion in May 2023
for illegally transferring EU user data to the U.S.. Other major fines include a
€390€ 390
million penalty in January 2023
for forcing users to accept personalized ads, and a
€405€ 405
million fine in September 2022
regarding Instagram's child privacy settings

Polisi wa Tanzania hawajui jukumu lao la usalama wa raia na mali zao; mara zote wanajiona kama wanajeshi walioko vitani dhidi ya jeshi la nchi.nyingine.
 
Wengi wa Hao Polisi ni makada wa CCM waliofeli primary school, wengine ni Kama huyu muuwaji Haji Omar Kheri , wamefeli kila kitu , wakaokotwa na CCM na kufanywa ni UVCCM na kupewa vyeo. Utegemee nini Kama si ujinga na uuwaji na kuteka watu ?
 
Elimu hatuna ila tamaa ya madaraka ndio kubwa, acha kiwake tu.

Hadi hela wakiamua kutuibia yani ni chap tu tunafirisika TZ
 
Kijana wa it ni ambaye anapendwa na wakubwa ama anayejipendekeza.
Lazima awe ccm, Africa don't care about mental capacity energy adi uwalambe miguu viongozi ama uwe mtt wa kiongozi unapewa cheo fulani
Kama mifumo yetu ni dhaifu kiasi hiki basi maadui zetu siku wakiamua kutufanyia ubaya ni dakika tuu
Kabil analeta mafunuo ya kutisha Sana.. Anatufunulia uchi wa nchi tunauona mpaka ndani.. Kuna vitu vikubwa Sana anatufundisha kuhusiana na usalama wa nchi kwenye upande wa hifadhi na ulinzi data..!
Tanganyika mpya ikija mifumo yetu yote ya ulinzi na uhifadhi itabidi ijengwe upya

View: https://www.facebook.com/share/v/17ceRVfS7k/%5B/UR

View:
 
Back
Top Bottom