Taifa linavuliwa nguo

Taifa linavuliwa nguo

Kijana wa it ni ambaye anapendwa na wakubwa ama anayejipendekeza.
Lazima awe ccm, Africa don't care about mental capacity energy adi uwalambe miguu viongozi ama uwe mtt wa kiongozi unapewa cheo fulani

View:

Kadukua mpaka michepuko na picha za pilau😋😂
 
Watu wanazima mitandao siku Sita. Wamefunga twitter, JF, Tiktok ne bado wao wanapost huko. Sijui wanatumia VPN? Unaona wana aklií za ziáda.

Wangekuwa na akili nzr.
Ndo wangekuwa tena active huko mitandaoni, mara moja Rais naye anatengeneza content kuendana na kizazi cha sasa.
Hawaoni Ruto anatengeneza content akiingia ikulu asubuhi akiwa kabeba kikombe cha chai?
Siku moja Samia anatengeneza content ya my daily life as president uone kama hasingefuatiliwa. Mnakumbuka ile video yuko jikoni anapika na kanga, ilivyoleta attention.


If you can't fight them join them.

Sasa yeye kaamua kutumia mabavu na mwishowe kuua watz.
Wacha kimlambe. Na hatatawala kwa amani
Kamrudisha mhuni Tido Mhando amsaidie kwenye content kama alivyo edit interview na muuni mwenzake Rostam
 
Back
Top Bottom