Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,194
Nchi imechangamka hadi imepitiliza
🤣🤣
Hii nchi Ina chekesha sana siku nilivyo kuwa natizama alivyo kuwa ana apishwa tbc wakaandika kuwa wanapatikana mitandaoni kama Twitter and the likes nikajiuliza Sasa Hawa Wana Akili kweli boss wao siemefunga mitandao wanavyo sema kwamba watu wafuatilie page zao za mitandaoni Twitter ikiwa Moja ya hiyo mitandao wanataka wananchi watumie nini kupata access ya hiyo mitandao actually siwalisema kutumia VPN ni kinyume Cha sheria !!!!Watu wanazima mitandao siku Sita. Wamefunga twitter, JF, Tiktok ne bado wao wanapost huko. Sijui wanatumia VPN? Unaona wana aklií za ziáda.
Wangekuwa na akili nzr.
Ndo wangekuwa tena active huko mitandaoni, mara moja Rais naye anatengeneza content kuendana na kizazi cha sasa.
Hawaoni Ruto anatengeneza content akiingia ikulu asubuhi akiwa kabeba kikombe cha chai?
Siku moja Samia anatengeneza content ya my daily life as president uone kama hasingefuatiliwa. Mnakumbuka ile video yuko jikoni anapika na kanga, ilivyoleta attention.
If you can't fight them join them.
Sasa yeye kaamua kutumia mabavu na mwishowe kuua watz.
Wacha kimlambe. Na hatatawala kwa amani
I am shocked! Where are veterans wa Taifa hili? Wanasubiri nini kuingia kazini? Very dangerous
Watunga sheria mnaweka akina Baba Revo, Babutale,Asha Baraka na Msukuma kasheku unategemea nini?I am shocked! Where are veterans wa Taifa hili? Wanasubiri nini kuingia kazini? Very dangerous
Yan mpaka nawaza hivi anatuonaje huyu ?Alijitangaza kashinda kwa 98%, inaonyesha jinsi alivyo boga kichwani, na kwa waliyotokea lakini bado akawapa watoto wake uwaziri, ni zaidi ya mwehu huyu
Baba levo hatujui hata maana ya muswada leo yuko Bungeni anatunga sheria 😬😬😬Nchi imejaza machawa na UVCCM kwenye sehemu iliyopaswa wakae wasomi, unategemea nini?
Mpaka mshenga kala shavu
Inatia uchungu kwa kweli, daaah!!!
Veteran mmojawapo nni huyu. Sasa unategemea nini?I am shocked! Where are veterans wa Taifa hili? Wanasubiri nini kuingia kazini? Very dangerous