Maya Angelou
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 1,081
- 2,487
Sijaona Uzi uko wapi huo?
Maana watu wakifunguka mume ataona huyu mke au public consumption
Bibi harusi kachangamka sana...hapo kuna mambo hayapo sawa wait huu uzi utafukuliwa siku
Sijaona Uzi uko wapi huo?
Maana watu wakifunguka mume ataona huyu mke au public consumption
Kwa kweli inafanyiwa promo kuwakomesha ma ex langu jicho yakheHio ndoa haitofika mbali naomba mleta mada atutaarifu wakiachana pia
Bibi harusi itakuwa kachangamka kuwaambia waja waliomsema haolewi mbona sasa kaolewaBibi harusi kachangamka sana...hapo kuna mambo hayapo sawa wait huu uzi utafukuliwa siku
Kitana Le bossSasa mimi nasubiri msimu nikanunue alizeti Burundi au Singida mwezi wa tano, niweke vijunia vyangu 20 nasubiri kuuza mwezi wa 11 au 12 bei imepanda mara mbili huyo jamaa nitamjulia wapi? Halafu anasema C.E. O roundtable hivi mtu kama Kitana wa mwanza anajua hiyo roundtable inajishughulisha na nini?
Nlkua nasubria hii commentJamaa simfahamu ila hiyo mbususu nimekula miaka kadhaa nyuma.
BTW hongera zao.
Ukute Taifa starsTaifa lipi?
Taifa la ny..koLeo twitter kuna ndoa ya taifa ni baina ya Guru wa mauzo mitandaoni Gillsant Mlaseko na mwanadada mjasiliamali bibie Lucy
Hii ni harusi ya kitaifa sababu kwa level ambazo Gilsant anazo ni wazi kuwa kutakuwa na ma top level CEOs na decision makers wa nchi hii
Ni harusi ambayo utawakuta watu wote ambao wapo kwenye CEOs roundtable namaanisha makampuni mbalimbami ya simu, banki, agencies mbalimbali etc
Ni harusi ambayo unatakiwa uandae business card za kutosha. Ni harusi ambayo ukiitumia vizuri unaweza ondoka na dili la mabilioni. Hata hivyo za ndani kabisa nasikia ni harusi ambayo inawindwa na wadangaji
Gillsant mlaseko ni nani?
Gilsant ni mkurugezi wa kampuni wa SwahiliDigital inayojihusisha na maswala ya digital marketing ambaye kabla ya hapo alifanya kazi kampuni mbalimbali kama kampuni ya simu Airtel kwenye kitengo cha marketing
Ni one of the Guru wa digital marketing nchi hii inayo kwa sasa
Hongera Gilsant my former colleague pale Airtel View attachment 1992480View attachment 1992481
View attachment 1992503
Watu Wana wivu sana na ndo wanawakilisha tabia ya watanzania wengiJF kuna sadist wengi sana Kaka. Mara nyingi wanajiona wanajua vitu vingi na wakishajua hawajui kitu ili kujifariji wanakuattack. Wazoee tu
Sidhani Kama umelazimishwa Uwa fahamu hii ni jamiiforum kila mtu yuko huru kuleta habari,Ni comments nzuri hawa watu kazi yao kutishatisha watu mara fulani mara vile sasa unaweza kudhani upo nyuma sana kumbe wakiletwa mbele yako wao ni mbugila tu wako nyuma hata hawakufikii, sasa unataka kusema mwamba anaechukua kitunguu mang’ola kwa mwaka mzima yeye anaijua kenya na juba sudani kusini anawafahamu hao ili wamsaidie nini? Wakati huko tu anapiga pesa ndefu kuliko hao tunaolazimishwa tuwafahamu wana connection
Hii ndoa haitoboi mwaka.....Wako desperate na harusi kuliko ndoa kwisha habari 😂😂😂😂Leo twitter kuna ndoa ya taifa ni baina ya Guru wa mauzo mitandaoni Gillsant Mlaseko na mwanadada mjasiliamali bibie Lucy
Hii ni harusi ya kitaifa sababu kwa level ambazo Gilsant anazo ni wazi kuwa kutakuwa na ma top level CEOs na decision makers wa nchi hii
Ni harusi ambayo utawakuta watu wote ambao wapo kwenye CEOs roundtable namaanisha makampuni mbalimbami ya simu, banki, agencies mbalimbali etc
Ni harusi ambayo unatakiwa uandae business card za kutosha. Ni harusi ambayo ukiitumia vizuri unaweza ondoka na dili la mabilioni. Hata hivyo za ndani kabisa nasikia ni harusi ambayo inawindwa na wadangaji
Gillsant mlaseko ni nani?
Gilsant ni mkurugezi wa kampuni wa SwahiliDigital inayojihusisha na maswala ya digital marketing ambaye kabla ya hapo alifanya kazi kampuni mbalimbali kama kampuni ya simu Airtel kwenye kitengo cha marketing
Ni one of the Guru wa digital marketing nchi hii inayo kwa sasa
Hongera Gilsant my former colleague pale Airtel View attachment 1992480View attachment 1992481
View attachment 1992503
Bibi harusi itakuwa kachangamka kuwaambia waja waliomsema haolewi mbona sasa kaolewa
Umeichakata 😅😅😅😅😅Jamaa simfahamu ila hiyo mbususu nimekula miaka kadhaa nyuma.
BTW hongera zao.
nitamkumbuka warumi daah aiseee LIPUmejuaje aisee si nimechanga ..
Viongozi wa Twitter Tanzania ni akina nani mkongwe!?Jamaa maarufu jamhuri ya Twitter... viongozi wote wa Twitter Tanzania walikuwepo kwenye harusi
Wenye followers zaidi ya 200,000. Wanajiona wameyashinda maisha.Viongozi wa Twitter Tanzania ni akina nani mkongwe!?
Hata siwajui. Nilisimama saa ngapiLeo twitter kuna ndoa ya taifa ni baina ya Guru wa mauzo mitandaoni Gillsant Mlaseko na mwanadada mjasiliamali bibie Lucy
Hii ni harusi ya kitaifa sababu kwa level ambazo Gilsant anazo ni wazi kuwa kutakuwa na ma top level CEOs na decision makers wa nchi hii
Ni harusi ambayo utawakuta watu wote ambao wapo kwenye CEOs roundtable namaanisha makampuni mbalimbami ya simu, banki, agencies mbalimbali etc
Ni harusi ambayo unatakiwa uandae business card za kutosha. Ni harusi ambayo ukiitumia vizuri unaweza ondoka na dili la mabilioni. Hata hivyo za ndani kabisa nasikia ni harusi ambayo inawindwa na wadangaji
Gillsant mlaseko ni nani?
Gilsant ni mkurugezi wa kampuni wa SwahiliDigital inayojihusisha na maswala ya digital marketing ambaye kabla ya hapo alifanya kazi kampuni mbalimbali kama kampuni ya simu Airtel kwenye kitengo cha marketing
Ni one of the Guru wa digital marketing nchi hii inayo kwa sasa
Hongera Gilsant my former colleague pale Airtel View attachment 1992480View attachment 1992481
View attachment 1992503
😂😂😂Wenye followers zaidi ya 200,000. Wanajiona wameyashinda maisha.