Taifa limesimama kwa muda kupisha ndoa ya taifa baina ya Gilsant Mlaseko na Mfanyabiashara mrembo Lucy

Leo twitter kuna ndoa ya taifa ni baina ya Guru wa mauzo mitandaoni Gillsant Mlaseko na mwanadada mjasiliamali bibie Lucy

Hii ni harusi ya kitaifa sababu kwa level ambazo Gilsant anazo ni wazi kuwa kutakuwa na ma top level CEOs na decision makers wa nchi hii

Ni harusi ambayo utawakuta watu wote ambao wapo kwenye CEOs roundtable namaanisha makampuni mbalimbami ya simu, banki, agencies mbalimbali etc

Ni harusi ambayo unatakiwa uandae business card za kutosha

Ni harusi ambayo ukiitumia vizuri unaweza ondoka na dili la mabilioni

Hata hivyo za ndani kabisa nasikia ni harusi ambayo inawindwa na wadangaji


Gillsant mlaseko ni nani?

Gilsant ni mkurugezi wa kampuni wa SwahiliDigital inayojihusisha na maswala ya digital marketing ambaye kabla ya hapo alifanya kazi kampuni mbalimbali kama kampuni ya simu Airtel kwenye kitengo cha marketing

Ni one of the Guru wa digital marketing nchi hii inayo kwa sasa



Hongera Gilsant my former colleague pale Airtel View attachment 1992480View attachment 1992481


View attachment 1992503
Hii ndoa unayo sema ni ya taifa lilikua ni Taifa la wapi? Uajemi au? Hao ndio kina nani? Mbona ndo tunawaona kwenye picha zilizopigwa kukiwa na mpiga picha akiwapiga picha wapigwa picha.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Taifa lisimame? Kuna watu asshole kweli aisee..!! Who the hell is he? Hv kumbe kuna watu akilimavi tupu
 
Kama wewe ni mfanyabiashara mkubwa hata ujifiche vipi biashara yako itakufanya ujulikane

Hata bakhressa sio mtu wa kuonekana. Ila biashara zake zimempa umaarufu

Mfano mwingine ali mafuruki,marehemu zakaria,

Sasa huyo bwana harusi unaemsifia kasimamisha nchi na sifa za mfanyabiashara mkubwa unampatia, huku hakuna hata mtu mmoja anaemjua humu. Maana yake ni sifa za kijinga unampatia
Mkuu wewe hujui tabia za watu!! hii avatar ni ya huyo huyo jamaa kabisaa!! anajipigia pande!! aone kama tunamjua.... au reaction yetu kwake itakuwaje kuuumbe ktk inner circle ya watu wake wa karibu ni mazombi tupu!!!

hakuna hata mmoja kutoka watu wake wa karibu anaeijua JF!! wengi wa rafikize ni washambawashamba tu!!! isipokuwa Mimi tu nimebakia kuwaleteeni taarifa hizi! si unaona hata slogan zake za ki-long- - ''eti taifa limesimama'' ndo nini sasa!!!

Ukifuatilia saana wana kiji utakuwa mwehu soon!!....
 
Kitu pekee nilichoelewa ni kwamba yawezekana ukawa na una uwezo mkubwa sana wa kufanya marketing.

Kuhusu hao watu wengi humu wamekiri kutokuwafahamu, sio kwasababu yoyote ile ni kwasababu circles zinatofautiana, Mtu mwingine circle yake ni ya wauza dhahabu wa geita na kahama, watu fulani hivi wana pesa chafu, mwingine circle yake ni ya wanasiasa tu, au Kwa mfano mimi ni bodaboda, circle inayonifaa ni ya wateja wangu na si hao maCEO.

Je kuna kitu cha ziada ulitaka kutuambia kuhusu wewe. Anyways tuwatakie ndoa na harusi njema.
Kuna watu huwa mnaandika maneno ya busara kiupendo,kiupole na kwa lugha "nyenyekevu" mpaka rahaa.
Mungu akubariki binti kiziwi na wengine kama wewe muendelee kuwa hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom