Taifa limesimama kwa muda kupisha ndoa ya taifa baina ya Gilsant Mlaseko na Mfanyabiashara mrembo Lucy

Hao wanandoa wakija kusoma hizi komenti humu wakilinganisha na umaarufi walio nao kule twita sijui watajisikiaje aisee.
 
Acha kujipendekeza kwa wanaume bwashee, huyo Gilsant si ajabu hata hakujui ila upo busy humu kumtetea na kulazimisha watu kumjua ilhali hajulikani.Atakuja kukula kitobo,shauri yako sasa. 😂😂😂😂
Wew umeshaliwa mara ngap na shemeji yako pale ambapo dada ako anakuwa hayupo
 
unaweza kuta baada
Brother yes nilikuwa mwajiriwa wa Airtel na kwa taarifa yako tulifanya project kubwa ambayo one of the competitor alikuja kufanya headhunt na mie nikawemo unaweza niona sina akili lakini waliokuja kufanya headhunt wanajua walikuja kuchukua vichwa vya aina gani

Naweza kuwa naandika utoporo lakini kwenye kazi yangu najua ninachofanya

Anyways haihusu sana nilichokifanya ni kujaribu kutoa codes za connection za kutoboa kimaisha tu kwa kuwa introduce one of the Guru katika vitu fulani fulani..
unaweza kuta baada ya kutoka Airtel saivi upo titisielo mnampa wakati mgumu Mh Kindamba
 
usihangaishe sana kichwa

Jamaa ni mtu wa digital marketing na ana ushawishi wake twitter, of course couple yao ni maarufu sana twitter na ndoa yao imeisimamisha kiaina

ila ukija kwenye uhalisia, bado sanaa kuwa "celebrities" wa tz kwa sababu watu maarufu wa bongo hii ni aidha uwe kwenye Entertainment industry au siasa.

Hapo utaona mtu kama kigogo, maria Sarungi au Fatma wanatamba twitter ila wanajulikana hadi jf na street kiasi, ila waliopo kwenye technology ambao ndo wengi twitter ni bado sanaaa. Hiki ndicho mleta mada hataki kuamini
Mkuu umeelezea fresh sana. Shida ya Vijana wa Sasa ni Ushamba na ujuaji mwingii.
 
Back
Top Bottom