Taifa limesimama kwa muda kupisha ndoa ya taifa baina ya Gilsant Mlaseko na Mfanyabiashara mrembo Lucy

Kaka /dada/ mkuu Ngoja nikufundishe kitu kimoja kwa niaba ya wana JF wote

Nchini humu katika uwanda wa biashara kuna biashara za aina mbili

B2C na B2B

Wanaofanya biashara za B2C ndio wanajulikana sana sababu wana ingage sana na wateja na matajiri wengi unaowajua wewe ni B2C kina Fredy vunja bei, Michael ngeleku, Aboud hao wengi hufanya biashara za B2C

Ila sasa hao wanaofanya biashara ya B2C kuna watu hufanya nao B2B

Na kwenye B2B ndio hujuana na watu wengi ambao in one way or another itakuwa ni connection na watu

Na kuna matajiri wanapiga hela sana kwa B2B na B2G

Mfano Lugumi anapiga sana hela na B2G na ni ukweli usiopingika kuwa mtu kama Lugumi anaweza kukupa connection ya maana sana ukatoboa hapa nchini kuliko wale wahindi wenye supermarket za shoppers ambao wao hufanya B2C

You get my point

Na kutomjua mtu wewe haizuii kuwa huyo mtu hajulikani sema it's not your cycle

Sasa kama mtu anajulikana na corporates na ceo round table yoote unasema humjui..sikuzuiii ila what you have to do is to take a note kumjua huenda ikawa msaada kwenye maisha yako

Maelezo yako yana mashiko ila shida umezidisha chumvi kidogo. Neno "Taifa Limesimama" ni kubwa sana. Kwenye hili neno ndio inaoneka labda wewe ndie bwana harusi na kama sio basi unamfanyia promo.
 
Laiti ungejua uzito wa Gilsant usinge andika hivi. Ungepata nafasi ya kuhudhuria hii harusi ungemuelewa mleta uzi anamaanisha nini
Ww pamoja na alieleta hii thread ni machawa wa huyo sijui Gilsant,bila yy hamuendi chooni
 
Kila siku mnatafuta connection za kutoka bongo

Hii ni sababu bongo katika kutoka ni lazima uwe na connection kwa namna moja au nyingine...watu wengi wanaofanya cooprerate kuwajua ni rahisi sana kutoka kimaisha

Unaacha kuwajua watu kama kina Gilsant, unawajua kina irene Paul halafu unasema bongo mchongo haupati baki hivyo hivyo
Unamsifia mwanaume mwenzako hivi kuna walakini
 
Brother yes nilikuwa mwajiriwa wa Airtel na kwa taarifa yako tulifanya project kubwa ambayo one of the competitor alikuja kufanya headhunt na mie nikawemo unaweza niona sina akili lakini waliokuja kufanya headhunt wanajua walikuja kuchukua vichwa vya aina gani

Naweza kuwa naandika utoporo lakini kwenye kazi yangu najua ninachofanya

Anyways haihusu sana nilichokifanya ni kujaribu kutoa codes za connection za kutoboa kimaisha tu kwa kuwa introduce one of the Guru katika vitu fulani fulani..
Bwana harusi kwanza ni mtu wa kulelewa hapo kwa huyo bimdashi kafuata mpunga ilhali katelekeza mke na mtoto,au labda connection unazungumzia ni hayo majimama ya mjini?
 
Kama wewe ni mfanyabiashara mkubwa hata ujifiche vipi biashara yako itakufanya ujulikane

Hata bakhressa sio mtu wa kuonekana. Ila biashara zake zimempa umaarufu

Mfano mwingine ali mafuruki,marehemu zakaria,

Sasa huyo bwana harusi unaemsifia kasimamisha nchi na sifa za mfanyabiashara mkubwa unampatia, huku hakuna hata mtu mmoja anaemjua humu. Maana yake ni sifa za kijinga unampatia
Mkuu Zakaria amedanja?
 
Hata wewe mleta mada ulikuwa mwajiriwa wa Airtel? Basi ndio sababu huu ni mtandao mbovu, unaajiri watu kama wewe. Umeandika as if huyo bwana harusi aliwahi kujisaidia haja kubwa uwanja wa taifa kwahiyo watu wote tunamjua.

Umesema CEOs watakuwepo pale kwani ana hadhi gani na maajabu gani kwenye masoko. Tueleze
 
Back
Top Bottom