Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 2,476
- 2,651
utakua kilaza mpaka kufa kwako, hv viongozi wote wa NEC wanachaguliwa na mwenyekiti wa ccm upinzani unawezaje kushinda hata tukiwapigia kura mijizi ccm inaiba, inateka watu na kuwaua wengine bila huruma. Wakati mwingine kabla hujaandika jitafakari unatia watu hasira.Vyama vya upinzani vilivyopo ni maswahiba wa CCM na hawana nia thabiti ya kuiondoa CCM madarakani.
Wananchi wameichoka CcM na wanataka mabadiliko.
CCM ilishawadharau wananchi na kuwaona wajinga . Lakini wananchi walishabumburuka.
Hakuna useriousness wa kupata katiba mpya itayozaa tume huru ya uchaguzi. Kuna ngonjera na maigizo tu.