Taifa langu

Taifa langu

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,761
*TAIFA ambalo Mabinti zake wakimuona Mzungu wanadhan ana Hela

*TAIFA ambalo ukiongea Kingereza unaonekana Msomi.

*TAIFA ambalo ukiwa na Simu nzuri we ni Mjanja hata kama haina Vocha

*TAIFA ambalo Waliofeli wanakuwa Walimu na Mapolice

*TAIFA ambalo m2 kwao hawana Umeme ila analalamikia Tanesco wanaboa

*TAIFA ambalo Warembo hufikiri wanapendwa na kila Mtu

*TAIFA ambalo Vijana wanalalamika hawana Hela ingawa hawataki Kazi

*TAIFA ambalo UKIWA NA GARI HUTONGOZI UNATOA LIFTI MAPENZI YANAANZIA HAPOHAPO

*TAIFA ambalo Mwanafunzi anafaulu huku hajui Kusoma wala Kuandka.
TAFAKARI.
 
ni kweli kabisa hii nchi bana kwanza wanapeana kazi ndugu wanao juana na ukija serkalin wana peana vyeo ndugu wanao juana
 
Taifa ambalo umeme (stima) usipokatika hom siku mbili mfululizo wanashangaa na kuona hicho ni kioja!
 
Taifa ambalo akionekana school Teacher anakunywa bia 3 kila siku, lazima awe ni mwizi.
 
Taifa ambalo limetukomboa wanyonge....... chama
 
Last edited by a moderator:
Taifa ambalo wananchi na viongozi wote wanalalamika
 
Taifa ambalo ni muunfaniko wa Tanganyika na Visiwa vya Unguja na Zimbabwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom