Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,188
- 157,332
NALIPENDA TAIFA LANGU
*Taifa ambalo mabint wakimuona mzungu wanadhan ana hela,
*Taifa ambalo ukiongea kingereza unaonekana umesoma sana,
*Taifa ambalo ukiwa na simu nzuri we mjanja japo vocha unaweka jerojero,
*Taifa ambalo waliofeli wanakuwa walimu,Manesi polisi,
*Taifa ambalo mtu kwao hawana umeme ila analalamikia Tanesco
*Taifa ambalo warembo wameshaona wao ni wakupewa tu daima,
*TAIFA ambalo vijana wanalalamika hawana hela, ukimpa dili anaanza longolongo,
*Taifa ambalo UKIWA NA GARI HUTONGOZI UKITOA LIFT TU BASI
*TAifa ambalo mwanafunz anafaulu huku hajui kusoma wala kuandika.
NAIPENDA SANA TANZANIA