Ni Taifa ambalo ,,,

ProBook

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
558
257
*Taifa ambalo mabinti wakimuona mzungu
wanadhan ana hela

*Taifa ambalo ukiongea kingereza umesoma sana

*Taifa ambalo ukiwa na simu nzuri we mjanja japo
vocha za jerojero

*Taifa ambalo waliofeli wanakuwa walimu na mapolice

*Taifa ambalo m2 kwao hawana umeme ila
analalamikia tanesco wanaboa

*Taifa ambalo warembo wameshaona wao ni
wakupewa daima

*TAIFA ambalo vijana wanalalamika hawana hela mpe dili analeta longolongo

*Taifa ambalo UKIWA NA GARI HUTONGOZ UNATOA 2
LIFTI KI2 Shaaaaaaaaa!!

*Taifa ambalo mwanafunzi anafaulu huku hajui
kusoma wala kuandka.

ENDELEZA Taifa ambalo...................................
 
Taifa ambalo , mwanaume mzima anakaa bar, harafu akikuona anaagaiza huku akimwagiza muhudumu we ulipe( mizinga hiyo)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom