Mmmmh..!!taifa langu

Rural Swagga

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,579
1,080
TAIFA LANGU

*Taifa ambalo mabinti zake wakimuona mzungu wanadhan ana hela
*Taifa ambalo ukiongea kingereza unaonekana umesoma sana
*Taifa ambalo ukiwa na simu nzuri we ni mjanja hata kama vocha unaweka jerojero
*Taifa ambalo waliofeli wanakuwa walimu na mapolice
*Taifa ambalo mtu kwao hawana umeme ila analalamikia tanesco wanaboa
*TAIfa ambalo warembo wameshaona wao ni wakupewa daima
*TAIFA ambalo vijana wanalalamika hawana hela mpe dili sasa anaanza longolongo
*Taifa ambalo UKIWA NA GARI HUTONGOZI UNATOA TU LIFTI KITU SHAAAA
*TAifa ambalo mwanafunzi anafaulu huku hajui kusoma wala kuandka
*Taifa ambalo ukisema nipo ofisini sa 3 usiku unashangawa ila nipo club saa 8 usiku unasifiwa
*Taifa ambalo wanafunzi wakifel wanarudia kusahisha mtihani
*Taifa lililogawa vyandarua vya 4 kwa 3 wakat mi na ktanda cha 6 kwa 6
*Taifa ambalo ukiwa na gari unaheshimiwa kuliko ukiwa na nyumba
*Taifa ambalo majirani wanakujua kuliko wazazi wako

#TaifaLangu

Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums
 
Ni macho yangu yana matatizo au nini? Hii ilishatoka hapa au mmu na niliongezea items kama tatu hivi!
 
kweli majanga ni mengi
ni kama najiangalia kibinafsi sana
itabidi nijitadi kuona namna nitakavyobadilika.
Mpaka leo Mamndeny hujabadilika? Na mabomu yote? Na kesi za kuchonga huko Tabora? Na mkubwa mmoja kusema mnatakiwa mpigwe
sana?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom