Taifa langu,hivi ni kweli ma braza na madada?

El-cohel

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
206
Reaction score
78
TAIFA LANGU
*Taifa ambalo mabinti zake wakimuona mzungu wanadhan ana hela

*Taifa ambalo ukiongea kingereza unaonekana umesoma sana
*Taifa ambalo ukiwa na simu nzuri we ni mjanja hata kama vocha unaweka jero jero
*Taifa ambalo m2 kwao hawana umeme ila analalamikia taneSCO wanaboa
*TaIfa ambalo warembo wameshaona wao daima ni wakupewa tu
*Taifa ambalo UKIWA NA GARI HUTONGOZ UNATOA 2 LIFTI KI2 Shaaaa
*TAifa ambalo mwanafunzi anafaulu huku hajui kusoma wala kuandka
nime copy na paste somewhere
 
Tanzania nakupenda sana taifa langu. chama hapaje.
 
Last edited by a moderator:

Mamndenyi
Nimelisoma shairi haya mambo ya watu wa mjini wasio na kazi na wasiotaka kujishughulisha kwa sisi ambao tumeamua kilimo kwanza mambo burudani tupu umeme ukikatika tunatumia chemli; simu kwetu bado anasa; mambo ya kuokoteza barabarani hayani hatuna muda nayo tumeamua kuoa; kiingereza ni lugha tu kama kigagaikoko kwetu haina mshiko; dada zetu wa vijijini jembe mtu hawana muda wa kuomba wanatumia baiskeli zao wenyewe; kusoma na kuandika kwetu kijijini vijana wetu wanajituma hawana muda na bongo flava; huku burudani tupu!!
 
chama hapa tunakwenda sawa,

Kwetu sie kilimo ndo kazi,
laiti ungetuwahishia pembejeo, maisha kwetu yangekuwa bora zaidi.

Pembejeo nyingi nenda SUMA JKT pale utapata mahitaji yako yote hata mimi kajitrekta nilikapata hapo !
 
Last edited by a moderator:
Taifa ambalo wadai haki wanaitwa magaidi.!!
 
Taifa ambalo mkiandamana kudai haki mnapigwa mabomu
 
chama nipe jina la kwenda nalo,
nikipata katrekta katanisukuma sana huko shambani,
na utakuwa umetupa ndoana baharini ikatoka na samaki aliyemeza dhahabu.

Mamndenyi
Pembejeo nyingi nenda SUMA JKT pale utapata mahitaji yako yote hata mimi kajitrekta nilikapata hapo !
 
Last edited by a moderator:
TAIFA LANGU
*Taifa ambalo mabinti zake wakimuona mzungu wanadhan ana hela

*Taifa ambalo ukiongea kingereza unaonekana umesoma sana
*Taifa ambalo ukiwa na simu nzuri we ni mjanja hata kama vocha unaweka jero jero
*Taifa ambalo m2 kwao hawana umeme ila analalamikia taneSCO wanaboa
*TaIfa ambalo warembo wameshaona wao daima ni wakupewa tu
*Taifa ambalo UKIWA NA GARI HUTONGOZ UNATOA 2 LIFTI KI2 Shaaaa
*TAifa ambalo mwanafunzi anafaulu huku hajui kusoma wala kuandka
nime copy na paste somewhere

Taifa ambalo wananchi wake wanashinda vijiweni bila kufanya kazi na mazungumzo yao ni kuhusudu maendeleo ya wananchi wa nchi zingine!
 
chama nipe jina la kwenda nalo,
nikipata katrekta katanisukuma sana huko shambani,
na utakuwa umetupa ndoana baharini ikatoka na samaki aliyemeza dhahabu.
Mamndenyi
pale huitaji jina kisu chako tu wakikuwekea zengwe tumia jina la fisadi yule aliyelikimbia kanisa hapashindikani kitu kwa jina lake; nina uhakika utafanikiwa mimi mlala hoi mwenzako nimekwenda kivyanguvyangu nimepata.
 
Last edited by a moderator:
ha ha haaa
Nitakungoja siku ukiwa hapa kijijini tutakwenda wote
utakuwa mkalimani wangu pale.

Mzima lakini?

Mimi mzima naendelea na shughuli za kujenga taifa; una wasiwasi pale SUMA JKT bidhaa zinasubiri wanunuzi nawasiliana na Ritz akushike mkono pale ndio kimbilio letu wajenga nchi.
 
Last edited by a moderator:
Ritz namwogopa kama nini,
labda ukikuwepo weye
Kweli nahitaji katreta kadogo hata kama ni kamkopo niweze
kufanyia kazi zangu huko mashambani.

Mamndenyi
Mimi mzima naendelea na shughuli za kujenga taifa; una wasiwasi pale SUMA JKT bidhaa zinasubiri wanunuzi nawasiliana na Ritz akushike mkono pale ndio kimbilio letu wajenga nchi.
 
Last edited by a moderator:
Raids ambalo mbunge anaweza kuingia bungeni kipindi musoma cha ubunge wake bila kuchangia hoja hata kuchallange tu kwa kaswali kadogo tu na bado jimboni kwako ukaendelea kupendwa km Mungu m2. Hahahaaaaaa monduli bwana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom