Taharuki; Pantoni kubwa kigamboni hatarini

Wakisimama juu na chini wanakuwa 4000?umepata kuhesabu idadi ya watu hao?
kitanda chako kama kinabeba watu wawili, ikitokea mkasimama juu ya kitanda mnaweza 16, ebu chukulia kwa mfano huo kwenye pantoni kubwa juu na chini
 
Lakini kama wewe ni mkazi wa kigamboni alafu hujui kuogelea nim uzembe. Anything can happen at anytime.
Jaribu kutafuta japo Idea tu just in case wakuu.
 
acha bangi wewe, kwahiyo walokitengeneza na kuweka capacity ya 2000 walimaanisha nini?
Kina uwezo wa kubeba watu 2000 na magari madogo 60. (Sawa na tani 500 kwa wakati mmoja) hao watu wengine 2000 wamepanda juu ya wengine au?
 
Lakini kama wewe ni mkazi wa kigamboni alafu hujui kuogelea nim uzembe. Anything can happen at anytime.
Jaribu kutafuta japo Idea tu just in case wakuu.
akili yako ni ya kujumlisha sana, kwahiyo wanaokaa vingunguti wote wanajua kuchinja? kwahiyo wote wanaokaa kariakoo ni wamachinga? kwahiyo wote walio mhimbili ni wanajua kuchoma sindano? kwahiyo wote wanaokaa mtwara ni wanajua kulima korosho?
 
True hali hapa ni mbaya
1547011746101.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kuna watu nawafahamu wametuma ujumbe kuwa ni saa moja mzima na ushee wako majini Kivuko kimesimama.
 
Wanasema engine mbili zime fail. Hivi hakuna vyombo vya uokoaji au mpaka kizame? Kivuko kidogo hakiwezi kwenda kuokoa? Sielewi kwa hakika.
 
Back
Top Bottom