Taharuki; Pantoni kubwa kigamboni hatarini

Taharuki; Pantoni kubwa kigamboni hatarini

Bado tu kutia nanga hao? Hebu tupeni status mlioko huko.
 
Mlikuwa 4000?
kwa hali ile watu tulijaa sana Leo, kwa ule msongamano huenda hata tulizidi zaidi ya 4000, wewe ebu fikiria tumeshuka Gari zote stand ya daladala zote zilijaa na tukabaki , mwendo kasi zilijaa, na tukabaki, wengine wametembea kwa miguu
 
Habari za hivi punde;
abiria takribani zaidi elf 4,wapo ndani ya maji karibia kwa saa moja sasa, Engine inayofanya kazi ni moja tu, Kivuko kibovu pia inadaiwa kivuko kimebeba watu idadi kubwa zaidi .
Elfu 4 unaijua au unaisikia? Hapa naona shida darasa.
 
Basi siku mkifa msije humu kulialia.
kwa hali ile watu tulijaa sana Leo, kwa ule msongamano huenda hata tulizidi zaidi ya 4000, wewe ebu fikiria tumeshuka Gari zote stand ya daladala zote zilijaa na tukabaki , mwendo kasi zilijaa, na tukabaki, wengine wametembea kwa miguu
 
Mbona hapo katikati hakuna watu au wameshuka? Lakini idadi hii ya kwenye picha ni zaidi ya elfu sita kwa jinsi nilivyohesabu na kuzidisha kisha nikamatapulayi na kudivaidi by zero. Fanyeni uzalendo kwa baadhi yenu kujitolea kushuka.
[emoji23][emoji23][emoji23]umematipulayi mara ngap
 
Hata wajaze vipi hawawezi kufika 1,000
Mnaongea mkiwa na experience ya kupanda hivyo vivuko au mnacomment kuchangamsha baraza tu? Hizo habari nadhani mtuachie sisi wakazi wa kigamboni ndio tunajua maisha ya pale ferry... KTY Kivuko kidogo cha MV kazi kina capacity ya watu 800 na magari 20 lakini mara nyingi asubuhi na jioni hubeba abiria mara mbili ya uwezo wake na kuna kipindi huwa kinabeba abiria tu kutokana na wingi wa watu... Sasa capacity ya MV Magogogoni ni mara mbili ya MV Kazi! go figure
 
Wote hamna uwezo wa kujisimamia, siyo mamlaka hata nyie watumiaji wa kivuko hamna uwezo wa kujiongoza.
Mamlaka husika ndo yenye kosaa... Mtu binafsi Huwezi zuiaa watu wasiingie kwenye panton yule anaefunga geti mlinzi ndo anaweza fanya hivyooo..

Pili.. Wew hujui uwezo wa lile panton so kama mizigo imezidi au bado haijazidi sio Kazi yakooo maana hujui chochotee.. Sio gari lilee kwamba unajua hapa abiria wamezidi maana unaona wengine wamesimama...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom