Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,376
- 54,809
Ningeshangaa ulivyo mpumbavu kama ungetoa jibu stahiki.
Ngoja yatokee halafu tuunde tume bs.Habari za hivi punde;
abiria takribani zaidi elf 4,wapo ndani ya maji karibia kwa saa moja sasa, Engine inayofanya kazi ni moja tu, Kivuko kibovu pia inadaiwa kivuko kimebeba watu idadi kubwa zaidi .
hiyo titatic watu elf 3 seated! ingekuwa bongo mfano isimamishe watu kama hivi wanaweza ingia watu elf 18000 kibongo bongo! bila kujali Safety kwa idadi inapozidi hata vifaa vilivyomo vya kujiokolea havitawatoshaUkiachilia mbali meli ya Titanic..Yamato Meli kubwa ya kivita kuwahi kutokea duniani ilikuwa na uwezo wa kubeba watu 3000....sasa hki kivuko cha bongo cha kubeba watu 4000 sjakielewa
Habari za hivi punde;
abiria takribani zaidi elf 4,wapo ndani ya maji karibia kwa saa moja sasa, Engine inayofanya kazi ni moja tu, Kivuko kibovu pia inadaiwa kivuko kimebeba watu idadi kubwa zaidi .
wanaoruhusu kujaza abiria, hata kama excuse yao waseme kwamba wanapunguza idadi ya magari swali, unapoongeza abiria kubwa kuriko maboya ya kuokolea maisha maana yake suala la usalama halizingatiwi kabisaHivi huu ujinga hapa Tanzania utaisha lini? Kila kukicha meli ama pantoni zinaruhusiwa kujaza abiria zaidi ya uwezo wake, ikizama wananchi wanalalamika na kuilaumu serikali. Nani alaumiwe hapa?
Mjadala bado haujafikia episode ya uokoaji.Kikubwa wamevuka salama huu mjadala ata ukiendelea mpk kesho