Msemajiwao
JF-Expert Member
- Sep 12, 2016
- 758
- 1,819
kilijaza sana hadi kuna mama kapoteza mtoto; mtoa mada namuunga mkonoAtakuwa kadata na mambo yake tu.
kilijaza sana hadi kuna mama kapoteza mtoto; mtoa mada namuunga mkonoAtakuwa kadata na mambo yake tu.
Ni kweli 4000 ni zile cruise Ship zinabeba maana wana mpk vyumba vya kulala kibaoSasa hiyo idadi yeye kaipata vipi! Ndiyo maana wakifuta nyuzi wanabaki kulialia.
Watu 4000 ni meli tena meli kubwa sana.
Hiyo ni average, ila watu wanaweza wakazidi hasa asubuhi na jioniKina uwezo wa kubeba watu 2000 na magari madogo 60. (Sawa na tani 500 kwa wakati mmoja) hao watu wengine 2000 wamepanda juu ya wengine au?
kilijaza sana hadi kuna mama kapoteza mtoto; mtoa mada namuunga mkono
Duh poleni sana.
Umewahi kushuhudia kimebeba watu 4000?Hiyo ni average, ila watu wanaweza wakazidi hasa asubuhi na jioni
uwezo wake nikubeba abiria elf 2000 waliokaa, lakini kwa Leo wamesimama juu na chini wamebanana
Umewahi kushuhudia kimebeba watu 4000?
Leo hiii au???kilijaza sana hadi kuna mama kapoteza mtoto; mtoa mada namuunga mkono
Hao siyo watu 4000.
Someni chiniKwani mstari wa plimsoll au plimsoll mark ulifikia wapi.Angalieni hilo kwanza ndio hoja zije mezani msing'ang'anie tu kimejaza
Sent using Jamii Forums mobile app
dah hawa wote wangekua wahanga kikizama,wakuu jihadhari kabla ya hatari ushaona kivuko kinaleta longolongo tafuta usafiri mwingine kuna daraja siku hizi.Nimetola kuvuka hapo hali ilikuwa mbaya sana View attachment 989835View attachment 989835
Kwa maji ya mtoni kingekwisha fika Bagamoyo kwani yanakwenda kasi, pia maji ya bahari ni rahisi kuogelea kuliko ya mtoni na ziwani.wewe unadhani hyo maji ya mtoni?