Taharuki; Pantoni kubwa kigamboni hatarini

Taharuki; Pantoni kubwa kigamboni hatarini

Msubirini mtukufu wetù anakuja kutatua ilo tatizo sasa hîvi ana malizia kunywa chąi hapo magogoni
 
Huduma ya vivuko soon vitakuwa font fage kwny magazeti, hawa jamaa wa TEMESA hawako serious hata kidogo. .
Jana MV Kazi kilipata hitilafu majira ya saa 20:15 kikitokea posta kwenda kigamboni..
Kilipoteza uelekeo japo manahodha walijitahid kwa takriban dkk 20 kukiweka sawa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hiyo idadi yeye kaipata vipi! Ndiyo maana wakifuta nyuzi wanabaki kulialia.

Watu 4000 ni meli tena meli kubwa sana.
Ukiachilia mbali meli ya Titanic..Yamato Meli kubwa ya kivita kuwahi kutokea duniani ilikuwa na uwezo wa kubeba watu 3000....sasa hki kivuko cha bongo cha kubeba watu 4000 sjakielewa
 
Pale kivukoni naona mambo yanaenda tu ili siku iishe lakini kuna siku litatokea la kutokea hawatakaa wasahau milele japo hatuombei iwe hivo.kila siku mambo ni yale yale hawataki kubadirika wanachoweza ni kuzuia watu kupiga picha lakini wamesahau mambo ya msingi.
 
Ukiachilia mbali meli ya Titanic..Yamato Meli kubwa ya kivita kuwahi kutokea duniani ilikuwa na uwezo wa kubeba watu 3000....sasa hki kivuko cha bongo cha kubeba watu 4000 sjakielewa
Mkuu jaribu siku moja kitembelea ferry nyakati za jioni au asubuhi ujionee ile nyomi ya watu utupe makadirio inaweza kuwa ni watu wangapi
 
Mkuu jaribu siku moja kitembelea ferry nyakati za jioni au asubuhi ujionee ile nyomi ya watu utupe makadirio inaweza kuwa ni watu wangapi
Sawa nitapita nione....lakni mbna hii fery haipo kwnye record za dunia walau top 5...maana fery kubwa kwa sasa duniani ina uwezo wa kubeba abiria 1800...ya bongo ni 2000 na leo imezidisha wakawa 4000....still ni myth story 😀😀😀😀😀😀
 
Sawa nitapita nione....lakni mbna hii fery haipo kwnye record za dunia walau top 5...maana fery kubwa kwa sasa duniani ina uwezo wa kubeba abiria 1800...ya bongo ni 2000 na leo imezidisha wakawa 4000....still ni myth story [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa wazungu unafananisha na sisi????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzunguni Ferry ya kubeba watu 200 tz inabeba hata 10000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetoa habari kienyeji sana, ni kivuko gani hicho?
Nafikiri MV KIGAMBONI Injini moja haifanyi kazi inayofanya kazi ni moja hivyo kinachukua muda mrefu kidogo kuvuka toka upande mmoja kwenda mwingine nimesikia pia leo kupitia TBC Taifa
 
Hao wamepagawa achana nao.
Ukiachilia mbali meli ya Titanic..Yamato Meli kubwa ya kivita kuwahi kutokea duniani ilikuwa na uwezo wa kubeba watu 3000....sasa hki kivuko cha bongo cha kubeba watu 4000 sjakielewa
 
Back
Top Bottom