Tahadharini watumiaji wa ATM card leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadharini watumiaji wa ATM card leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by thatha, Sep 28, 2011.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  leo nimefika ktk ATM ya AZANIA MASDO HOUSE - Samora Avenue na kutka kutoa Pesa. kwa bahati baada ya kuingiza data zangu na kutaka kutoa pesa system ilikataa kutoa.
  lkn tayari system hiyo imeonyesha pesa nilizotaka nimezipata. kwa ufupi zimepungua kwenye A/C yangu huku pesa hazikotuka.


  TAHADHIRI NDUGU
  Kinachotokea kwamba baadhi ya user baada ya kufanya transaction na kukusa kutoa fedha hizo hawaangalii A/C yao. kumbe hata kama pesa hazitoki lkn mkato kama kawaida na a/c yako imepungua

  inaonesha hata system za bank nyengine leo ndio hivi hivi


   
 2. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2011
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kila mwisho wa mwezi hilo ni jambo la kawaida,
   
 3. O

  OMEGA JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 671
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 60
  Angalia tena salio baada ya masaa kadhaa utakuta hiyo balance imerudi kama kawaida,imewahi kunitokea watu wa benki waka ni assure kuwa hazitopotea na kweli nilipoangalia salio kesho yake zikawa zimerudi.
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  unafikiri mema ya nchi mpaka ufe wanaanza hapa hapa duniani mpwa pole zitarudi pole pole
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,041
  Likes Received: 6,473
  Trophy Points: 280
  inaonyesha kuwa hii tekinolojia bado ni ngumu kwa tz.
   
Loading...