mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 95,862
- 136,765
Ndiyo uwafundishe sasaMademu wa tarime hawajui mapenz najuta
Ova
Ndiyo uwafundishe sasaMademu wa tarime hawajui mapenz najuta
Karibu Kila kijana ndoto yake ni kua Introder.Mwanamke wa tarime anajisifia akisema mbele za watu kwamba "mume wangu ni intruder kwa mzungu"🤣
Intruder kwa Mzungu maana yake ni mla D2? Au nini. Fafanua Evelyn Salt kama unajua
Hatujabadilika kwa chochote zaid tumezidisha ukarimu kuwakaribisha Wageni, ila hatupendi dharau na kuonewa. Karibu tarime km upo singleMlikua wakurya wakurya kweli......sahivi walaaa 😹
Sasa umejibu nini? Nimeuliza Intruder kwa Mzungu maana yake nini?Hatujabadilika kwa chochote zaid tumezidisha ukarimu kuwakaribisha Wageni, ila hatupendi dharau na kuonewa. Karibu tarime km upo single
Na mtaji wake ni panga🤣Karibu Kila kijana ndoto yake ni kua Introder.
Nmesoma na mkurya alipomaliza tu alirudi chap kwao kua Introder.
Umeandika pumba tu tena wanawake wa tarime ata kama mke wa mtu akikuona ww mwanaume wa kuja sio mzawa ukimtongoza
HakikaHakuna Wilaya yenye watu watu waungwana, wanaopenda watu kama Tarime. Hayo yaliyosemwa ni kweli ila mwananchi wa Tarime anapenda haki hataki dhuluma. Ndo maana kila uchaguzi wanamchagua Mbunge kwa haki na hata ukiwapa rushwa lakini wenyewe wanasimamia haki. Msiogope kuishi Tarime.