Ubishi pia asili yenu,nina mifano mingi sana ila nikiitoa kwako naona kazi bure maana mkuu fikra zako umezigandisha.
Labda nikutolee mfano huu mmoja,Kigamboni kuna mafundi walikua wanajenga kuna mwanadada aliomba asaidiwe kitu na huyo fundi,yule dada ni mke wa hao jamaa zenu wakurya.
Bahati mbaya jamaa akawa anarudi maana ujenzi unapofanyika kwa nyumba ya pili ndio kwake.
Sasa yule jamaa alipomuona mkewe anaongea na yule fundi akatafsiri anamtongoza,jamaa hakutaka kusikiliza alifika mateke ngumi na ugomvi ukawa mkubwa.
Kila jamaa akitulizwa haambiliki,mbaka wazee kumtuliza na kujua chanzo hayo mapigano yote yasingetokea.
Kiufupi mnapenda kutoa reaction pasi na kujua chanzo cha kitu ni nini.
Hii tabia mnayo we kaka kataa jiteteeni ila hii tabia mnayo.