sikupingiNdo watu wa mifano ya mambo yaliokinyume na mazuri
Masai hadi leo kuna kaheshima ya undugu flani hatuwez oa kwao wala hawawez oa kwetukurya ndo watu wajasiri hawana ubaguzi na wakarimu,ila usithubutu kumuonea au kumdharau mkurya utajuta kaka
Bila kusahau
Wakurya waliwashinda wamasai vitani na kufanikiwa kuwafukuza toka maeneo ya mara kwenda arusha upande wa Tz,na pia kuwa toka maeneo ya nyanza kwenda pande za masai mara huko kenya
HISTORY TO BE TOLD
Sio heshima ni mila na maagano ya wazee wa jadiMasai hadi leo kuna kaheshima ya undugu flani hatuwez oa kwao wala hawawez oa kwetu
Mbona unataja na jina langu sasaSio heshima ni mila na maagano ya wazee wa jadi
Maana watu wa haya makabila waliuana sana na si vizuri kuoana na watu ambao mumemwaga damu zao
Lakini pia kuna majina ya kimasai ukuryani
Kama ghisiri,mwikwabhe?katafute yakifikaje ukurayani utanielewa
Mkuu....Mbona unataja na jina langu sasa
Maasai are warriors.Sio heshima ni mila na maagano ya wazee wa jadi
Maana watu wa haya makabila waliuana sana na si vizuri kuoana na watu ambao mumemwaga damu zao
Lakini pia kuna majina ya kimasai ukuryani
Kama ghisiri,mwikwabhe?katafute yakifikaje ukurayani utanielewa
hahahahaMaasai are warriors.
Kupita huko kwenda Arusha ilikua ni njia tu ya kutafuta maeneo mazuri yenye malisho.
Ubora wao unafahamika tangia enzi; Soma Biblia mambo ya nyakati wa kwanza Mlango wa Tisa, wametajwa kama wana wa makuhani.

Soma kwanza halafu utaamua mwenyewe, ila ukweli ndio huo.Ha
hahahaha
habari za wamasai zikaandikwa na mababu wa wayahudi wa kale..!hii siichukui ndugu
Mkuu acha hizi mambo za kufatilia asili yako kwenye historia za watu wengine..
Historia ndio hiyo mkuu,Mkuu acha hizi mambo za kufatilia asili yako kwenye historia za watu wengine..
Tafuta historia yako na asili yako
Utaipata,utakuwa huru
hIvi unajua "makuhani walikua wana wa haruni toka kabila la Lawi la wana waisrael au yakobo kwa jina la kuzaliwa"...Sasa umasai umeingiaje hapo..
Wewe ndo ukasome
Vizuri halafu uanze kutafuta asili yako.