Wakurya ndio wakarimu,wapo vizuri kichwani kiakili ila kuna muda wana ubabe wa kipumbavu.
Yani wana hyper sana,pia huwa hawajui kitu kinachoitwa majadiliano,wao wanajua matumizi ya nguvu kuliko majadiliano.
Yani hawana tofauti na wamaasai.
Kitu kidogo cha kujadiliana mtavutana mashati na kupigana mabisu,kwa hiko wanazingua sana.