ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,465
- 67,478
Ndio mkuu, kuna kipindi nilikuwa huko kikazi wale niliokuwa nafanya nao kazi walikuwa wakiniletea.Umewai kuitumia goko?
Ndio mkuu, kuna kipindi nilikuwa huko kikazi wale niliokuwa nafanya nao kazi walikuwa wakiniletea.Umewai kuitumia goko?
Ledada njoo PM pleaseKufanya nini mkuu?
Upo tarimeKaribuni sana Tarime
Ndiyo unataka tuonane?Upo tarime
Nipo mjini hapa namimina Serengeti lemon taratibuNdiyo unataka tuonane?
Mjini wapi? Saba saba?Nipo mjini hapa namimina Serengeti lemon taratibu
maeneo ya karibia na MIlan lounge hapaMjini wapi? Saba saba?
Nipo Amazon hapamaeneo ya karibia na MIlan lounge hapa
njoo PM mkuuNipo Amazon hapa
Hizo bia hapo Amazon unataka kuzimaliza mwenyewe?Nipo Amazon hapa
AiseeMtu anayekatwa govi bilaganzi na hapepesi macho pamoja na govi(ngozi) na ni taratibuuu sio kwa haraka
unamwonaje