Waliopata ajali ya bodaboda hapa moro,wakifika hospital ya mkoa wanaulizwa kama alikuwa ni derava au abiria,kama umejibu ulikuwa dereva madaktari wanaongeza ukubwa wa jeraha(hata kukata kiungo)
Juzi juzi kijana wa bodaboda alisababisha kifo chake kwa mikogo,eti aligeuza shati lake vifungo akafungia mgongoni, baada yakupata ajali wasamaria wema walifika kumsaidia walipoona shati limevaliwa kinyume wakadhani kijana kaumia sana mpaka shingo limegeuka mbele nyuma.
Wakakubaliana kuwa huduma ya kwanza nikurudisha shingo katika hali yake ya kawaida ikawa vuta nikuvute nguo kuchanika kumbe ndio wakawa wanamsogeza kwa godi!

Juzi juzi kijana wa bodaboda
alisababisha kifo chake kwa mikogo,eti aligeuza shati lake vifungo
akafungia mgongoni, baada yakupata ajali wasamaria wema walifika
kumsaidia walipoona shati limevaliwa kinyume wakadhani kijana kaumia
sana mpaka shingo limegeuka mbele nyuma.
Wakakubaliana kuwa huduma ya kwanza nikurudisha shingo katika hali yake
ya kawaida ikawa vuta nikuvute nguo kuchanika kumbe ndio wakawa
wanamsogeza kwa godi!