baiser
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,456
- 2,181
Viongozi na watanzania kuna jambo la kujifunza kutoka nchi jirani ya rwanda
Barabara zao ni nzuri na hazina matuta
Camera zimewekwa barabarani ilii watu waendeshe kwa kufuata sheria
Boda boda zao zote waendeshaji wanavaa helmet pamoja na abiria wao na pia pikipiki hazijatolewa side mirror kama za boda boda wa bongo
Mwendo wa boda boda ni wa kiusalama zaidi na hakuna anayevunja sheria za barabarani ,sio kama bongo boda boda anapita tu kwenye mataa na hayajamruhusu kupita
Kifufupi tunalo la kujifunza kwa hawa wenzetu ,ukipanda boda boda jiji la dar es salaam na ukafika salama unamshukuru Mungu lakini jiji la Kigali una uhakika wa kufika salama
Viongozi wa Tanzania na watanzania sio vibaya tukaiga mazuri ya wenzetu