Tahadhari: Ukinunua boda boda...

Babkey

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
4,834
3,655
Kumbuka kuchukua Magongo na/au sanda, jeneza kwa atakaekuuzia au kukuajiri.

'IMETOLEWA KWA HISANI YA WATU WA CHINA'
 
Waliopata ajali ya bodaboda hapa moro,wakifika hospital ya mkoa wanaulizwa kama alikuwa ni derava au abiria,kama umejibu ulikuwa dereva madaktari wanaongeza ukubwa wa jeraha(hata kukata kiungo)
 
Acha kupotosha umma wewe!Hicho ndicho walichosomea(kuongeza ukubwa wavidonda)?Acha propaganda zakizushi wewe!Kama ulikatwa mguu wewe kwamatatizo binafsi usidhani walikuonea,kama umeonewa dai fidia.
 
Waliopata ajali ya bodaboda hapa moro,wakifika hospital ya mkoa wanaulizwa kama alikuwa ni derava au abiria,kama umejibu ulikuwa dereva madaktari wanaongeza ukubwa wa jeraha(hata kukata kiungo)

duuuuu!!
 
Juzi juzi kijana wa bodaboda alisababisha kifo chake kwa mikogo,eti aligeuza shati lake vifungo akafungia mgongoni, baada yakupata ajali wasamaria wema walifika kumsaidia walipoona shati limevaliwa kinyume wakadhani kijana kaumia sana mpaka shingo limegeuka mbele nyuma.
Wakakubaliana kuwa huduma ya kwanza nikurudisha shingo katika hali yake ya kawaida ikawa vuta nikuvute nguo kuchanika kumbe ndio wakawa wanamsogeza kwa godi!
 
Kwa boda boda zinavyowafanyia basi kuna haja yakuuziwa na magongo ila jeneza itakatisha watu tamaa ya kununua
 
Juzi juzi kijana wa bodaboda alisababisha kifo chake kwa mikogo,eti aligeuza shati lake vifungo akafungia mgongoni, baada yakupata ajali wasamaria wema walifika kumsaidia walipoona shati limevaliwa kinyume wakadhani kijana kaumia sana mpaka shingo limegeuka mbele nyuma.
Wakakubaliana kuwa huduma ya kwanza nikurudisha shingo katika hali yake ya kawaida ikawa vuta nikuvute nguo kuchanika kumbe ndio wakawa wanamsogeza kwa godi!

So sad jaman lol!
 
funny to b tru.......
 
mwingine yalimkuta kama hayo kwa kugeuza kapelo aliyokuwa kavaa!

Juzi juzi kijana wa bodaboda
alisababisha kifo chake kwa mikogo,eti aligeuza shati lake vifungo
akafungia mgongoni, baada yakupata ajali wasamaria wema walifika
kumsaidia walipoona shati limevaliwa kinyume wakadhani kijana kaumia
sana mpaka shingo limegeuka mbele nyuma.
Wakakubaliana kuwa huduma ya kwanza nikurudisha shingo katika hali yake
ya kawaida ikawa vuta nikuvute nguo kuchanika kumbe ndio wakawa
wanamsogeza kwa godi!
 
Back
Top Bottom