Nikiona mtu mzima anaendesha boda naingiwa na hofu sana

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,404
15,988
Imagine mtu ana age ya 60, 50 halafu anaendesha boda unaweza kuingiwa na maswali mengi sana kwamba nini kimetokeaa hadi Muda huu anakimbizana na vijana wa miaka 20 ,23 na unamkuta anajisifia kabisa kuwa mimi nina miaka 8 kwenye kazi hii.

Unakuta kijana ana 40+ kabisa hadi unaogopa kumtuma unajiuliza hivi hawana mashamba au wameuza

Halafu unakuta wengine wanauza mashamba yao na kugawna pesa na wengi kwenda kununua boda bila kujua kuwa boda Ina risk kubwa.

Mungu wajalie bodaboda wote kazi hiyo ni hatari sana.

Leo nimeogopa walai mtu mzima mimi nilimuagiza kwenda sehemu fulani

Vijana tuweke sana akiba siyo poa kabisa nilipanga nipige bia nne ila nimekunywa moja tu naondokaa zangu Walai
 
Natamani waendesha bodaboda wote wangekua watu wazima. Ujinga barabarani ungepungua au kuisha kabisa

1709185750838.jpg
 
Mbona kama unanisema mimi sasa! Mimi nimekuwa mlinzi kwa miaka 45 sasa. Na silaha yangu kuu ni kirungu. Halafu niko vizuri kabisa. Hivyo usisononeke bhana. Kupanga ni kuchagua.
Bora kama unafanya ulinzi kwenye makampuni makubwa Kama k4s security ,kk,gso ,Garda ward hzo zinapesa nzuri na nnssf yako itasoma vizuri sana
 
Imagine mtu Ana age ya 60 ,50 alfu anaendesha boda unaweza kuingiwa na maswal mengi sna kwamba nin kimetokeaa Hadi Muda huu anakimbizana na vijana wa miaka 20 ,23 na unamkuta anajisifia kbsaa kuwa mm Nina miaka 8 kwenye kazi hi

Unakuta kijana ana 40+ kbsa Hadi unaogopa kumtuma unajiuliza hivi hawana mashamba au wameuza

Alfu unakuta wengine wanauza mashamba Yao na kugawna pesa na wengi kwenda kununua boda bila kujuwa kuwa boda Ina risk kubwa

Mungu wajalie bodaboda wote Kaz hyo Ni hatari sna
Leo nimeogopa walai mtu mzima mm nilimuagiza kwenda sehemu fln


Vijana tuweke sna akiba siyo poaa kbsaaa nilipanga nipige bia nne ila nimekunywa moja tu naondokaa zangu Walai
Ila wewe Dr nae unaandika kama bodaboda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom