TAHADHARI: Mvua kubwa kunyesha Mikoa ya Dar, Pwani, Moro, Tanga, inaweza kusababisha Vifo

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
Screenshot_2023-11-22-01-52-52-415_com.instagram.android-edit.jpg


Mamlaka hiyo ya Hali ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa tahadhari ya Mvua kubwa katika Maeneo ya Mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro, Pwani, Lindi, Mtwara, Tanga na Visiwa vya Mafia, Unguja na Pemba

Kwa mujibu wa TMA, athari zinazoweza kujitokeza ni pamoja na baadhi ya Barabara kutopitika kutokana na Mafuriko pamoja na Vifo.

TMA imewataka Wananchi kuchukua hatua za tahadhari ili kuepuka athari hizo.
 
Kuna mchina anajenga barabara basi Kila akitaka kutandika rami mvua inashuka na barabara kuwa tope. Mwez sasa kaganda hapo hapo
 
Back
Top Bottom